notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 453
Mbowe is slowly sliding away from kikongwe Slaa. Labda kile tunachokiona sisi kama CHUKI ILIYOPITILIZA ya slaa dhidi ya JK sasa hata mbowe ameanza kuiona.
Mbowe kuna kitu anajifunza toka kwa ZITTO KABWE, na somo lenyewe ni kuhusu USHINDANI BILA UADUI. Huenda akawa amechelewa sana lakini si vibaya kwa muungwana kutubu dhambi kabla mauti hayajamkuta.
Hata hivyo, SLAA angetaka kuingia na magwanda wakati yanatoa harufu ya ...........