Nani alidanganya kati ya gazeti na Dr Slaa

Status
Not open for further replies.
slaa huyo mnamwita docta kwani anamtibiaga nani uongo kawaida yake si alimdanganya josephine akamuacha mume wake ongo kama nini hilo zee
 
Huu ujinga .Nadhani shule ndogo na roho wa uzushi for sure .Yaani wewe magazeti yote yaacge kuandika na kutoa picha za Mbowe mnazusha hapa ? It is time for you to get real for sure .Mnabaki kulia lia na kupoteza resources .Can you prove De.Slaa wrong kwa kuleta gazeti lenye habari hii ya Mbowe ? Kwa nini mnaacha kuongelea real issue kama vile uongo wa CCM na faida ya Obama kuja Tanzania badala ya kuzusha ?

mkuu swali ni nani alidanganya naona unambwelambwela tu hata swali hujibu sijui ni utoto au maarifa kidogo.
 
Mkuu Ritz una mambo mazito kweli kweli! Mwenyekiti amfiche mwaliko Katibu Mkuu? Kwani kadi ilikuwa ya mt7u mmoja tu si wangeenda wote: Mbowe atumie mwaliko wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Dr. Slaa mwaliko wa CHADEMA?

Mkuu Kimbunga,

Kilichomponza Dr Slaa kulalamika kwenye vyombo vya habari kuwa Chadema hawakushirikishwa kwenye ziara ya Obama, najua Josephine kalia sana kukosa kuonana na Michele Obama.

Jana Mbowe tulikuwa naye anakula sekera za bata mzinga.
 
Last edited by a moderator:
wakuu jana kunagazeti moja la kila siku liliripoti kuwa chadema yamsusa obama lakini baadaye humu jf nikasoma maelezo ya dk slaa akieleza kuwa wao kama chadema hawakushirikishwa kuhusika kwenye huu ugeni kwa maana hiyo hawawezi kujipeleka kwenye ugeni ambao hawakushirikishwa.

Lakini baadaye nikasoma post tena humu jf inabainisha kuwepo kwa mh.mbowe kwenye dhifa ya ikulu ambayo iliandaliwa na rais jk akimwandalia mgeni wake rais obama.

Hali hii ilifanya nijiulize ukweli wa hili gazeti uko wapi na ukweli wa slaa ni upi,awali nikajua ni ule mtindo wa magazeti yetu kuandika taarifa bila kutafiti yawezana slaa yuko sahihi kwa sababu ndiye katibu mkuu wa chama na barua zote hupita kwake kama katibu mkuu,lakini kilichonichanganya tena kusikia mbowe alikuwepo nikashindwa kujua nani aliudanganya uma ni gazeti au slaa au mbowe alialikwa kutokana na mahusiano yao mazuri na jk au mwaliko ulikuwepo lakini slaa akaamua kuongea alivyoongea na gazeti lile taarifa ile lilitoa wapi.

NANI MUONGO AU NINI UDHATI WA HALI HII

Hivi wewe ulikuwa hujui kuwa Slaa huwa anajisemea tu bila mwelekeo wala mpango wala kuwa na uhakika wa ayasemayo? soma signature ya Ritz.
 
nashukuru mkuu ngoja niicheki yawezeka mzee wetu na utuuzima wake vimekutana na pengine kawa msahaulifu sana.
 
wakuu jana kunagazeti moja la kila siku liliripoti kuwa chadema yamsusa obama lakini baadaye humu jf nikasoma maelezo ya dk slaa akieleza kuwa wao kama chadema hawakushirikishwa kuhusika kwenye huu ugeni kwa maana hiyo hawawezi kujipeleka kwenye ugeni ambao hawakushirikishwa.

Lakini baadaye nikasoma post tena humu jf inabainisha kuwepo kwa mh.mbowe kwenye dhifa ya ikulu ambayo iliandaliwa na rais jk akimwandalia mgeni wake rais obama.

Hali hii ilifanya nijiulize ukweli wa hili gazeti uko wapi na ukweli wa slaa ni upi,awali nikajua ni ule mtindo wa magazeti yetu kuandika taarifa bila kutafiti yawezana slaa yuko sahihi kwa sababu ndiye katibu mkuu wa chama na barua zote hupita kwake kama katibu mkuu,lakini kilichonichanganya tena kusikia mbowe alikuwepo nikashindwa kujua nani aliudanganya uma ni gazeti au slaa au mbowe alialikwa kutokana na mahusiano yao mazuri na jk au mwaliko ulikuwepo lakini slaa akaamua kuongea alivyoongea na gazeti lile taarifa ile lilitoa wapi.

NANI MUONGO AU NINI UDHATI WA HALI HII
Ndugu yangu unaweza kujitakia matusi, kejeli na maswali magumu bila sababu. Kwanza umeamua au kwa makusudi au kutokujua kutosema gazeti that's the source of Dr.Slaa's remarks. Pili, umeshindwa kusema waziwazi the purpose of your thread not the answers to your query? Tatu kuliko kuleta thread ya aina hii ingekuwa vizuri kama ungewatafuta stakeholders -mratibu wa shughli nzima kutoa mwaliko mojawapo, Dr.Slaa na Mbowe. Majibu ambayo ungeyapata yangesaidia kutoa balanced thread na kupunguza wewe kuuliza maswali na ukashiriki kuyajibu na kuwafanya wengine wakachangia kwa jaziba na matusi. Na thread yako ingenda mbali zaidi katika kutoa somo kwa stakeholders wote na gazeti usilotaka kutaja likiwemo
 
haitasaidia kitu hata kama utaambiwa unavyotaka kwani mara ngapi imeshaandikwa kwamba Waziri mkuu amedanganya na hakuna chochote kilichofanyika
 
Ndugu yangu unaweza kujitakia matusi, kejeli na maswali magumu bila sababu. Kwanza umeamua au kwa makusudi au kutokujua kutosema gazeti that's the source of Dr.Slaa's remarks. Pili, umeshindwa kusema waziwazi the purpose of your thread not the answers to your query? Tatu kuliko kuleta thread ya aina hii ingekuwa vizuri kama ungewatafuta stakeholders -mratibu wa shughli nzima kutoa mwaliko mojawapo, Dr.Slaa na Mbowe. Majibu ambayo ungeyapata yangesaidia kutoa balanced thread na kupunguza wewe kuuliza maswali na ukashiriki kuyajibu na kuwafanya wengine wakachangia kwa jaziba na matusi. Na thread yako ingenda mbali zaidi katika kutoa somo kwa stakeholders wote na gazeti usilotaka kutaja likiwemo

mkuu wale wanaochangia kwa matusi kwanza ni kukosa hekima na kukosa hoja .

Lakini pia humu jf yawezekana wahusika watapata nafasi ya kutupa ufafanuzi wao kuhusu ukweli wa hili.
 
zomba, mimi ku, babayako, na Ritz mna kazi maalum, maneno yenu yanafanana sana na ya Mwigulu Nchemba awapo jukwaani.

huo ndo ujenzi wa chama, komaeni na matokeo ya kufeli yanazidi kutoka, singida likesi lenu mmepigwa doro! dr. Kitila Mkumbo kidedea!!!!! arusha mkuu wa mkoa kalala yombo, soon kamanda lwakatare hatakuwa na kesi ya kujibu.

mnahangaikaje?
 
Last edited by a moderator:
wakuu jana kunagazeti moja la kila siku liliripoti kuwa chadema yamsusa obama lakini baadaye humu jf nikasoma maelezo ya dk slaa akieleza kuwa wao kama chadema hawakushirikishwa kuhusika kwenye huu ugeni kwa maana hiyo hawawezi kujipeleka kwenye ugeni ambao hawakushirikishwa.

Lakini baadaye nikasoma post tena humu jf inabainisha kuwepo kwa mh.mbowe kwenye dhifa ya ikulu ambayo iliandaliwa na rais jk akimwandalia mgeni wake rais obama.

Hali hii ilifanya nijiulize ukweli wa hili gazeti uko wapi na ukweli wa slaa ni upi,awali nikajua ni ule mtindo wa magazeti yetu kuandika taarifa bila kutafiti yawezana slaa yuko sahihi kwa sababu ndiye katibu mkuu wa chama na barua zote hupita kwake kama katibu mkuu,lakini kilichonichanganya tena kusikia mbowe alikuwepo nikashindwa kujua nani aliudanganya uma ni gazeti au slaa au mbowe alialikwa kutokana na mahusiano yao mazuri na jk au mwaliko ulikuwepo lakini slaa akaamua kuongea alivyoongea na gazeti lile taarifa ile lilitoa wapi.

Nani muongo au nini udhati wa hali hii

nafikiri wewe hauna kazi ya kufanya! Hata kama kuna uongo sioni shida kabisa kwani uo uongo una impact gani katika maisha ya watanzania! Wizi na mikataba mibovo ndiyo tatizo kabisa
 
Mkuu Kimbunga,

Kilichomponza Dr Slaa kulalamika kwenye vyombo vya habari kuwa Chadema hawakushirikishwa kwenye ziara ya Obama, najua Josephine kalia sana kukosa kuonana na Michele Obama.

Jana Mbowe tulikuwa naye anakula sekera za bata mzinga.
mkuu ritz, uchambuzi wako umenifanya nicheke sana ningekuwa na picha ya josephini kwenye mashine yangu ingenibidi nimwangalie.
 
nafikiri wewe hauna kazi ya kufanya! Hata kama kuna uongo sioni shida kabisa kwani uo uongo una impact gani katika maisha ya watanzania! Wizi na mikataba mibovo ndiyo tatizo kabisa

ni bora ya mchafi kuliko muongo mpaka usemi huu utumike ujue kuwa uongo unamadhara sana.
 
Inaonekana Mbowe na Dr Slaa hawana mawasiliano mazuri au Mbowe alifanya makusudi kumficha Dr Slaa kuhusu mualiko wake Ikulu.

Tatizo lako unajiona wewe ni mungu mtu.ktk vilaza hapa Tanzania wewe ni kilaza # one!!!
 
zomba, mimi ku, babayako, na Ritz mna kazi maalum, maneno yenu yanafanana sana na ya Mwigulu Nchemba awapo jukwaani.

huo ndo ujenzi wa chama, komaeni na matokeo ya kufeli yanazidi kutoka, singida likesi lenu mmepigwa doro! dr. Kitila Mkumbo kidedea!!!!! arusha mkuu wa mkoa kalala yombo, soon kamanda lwakatare hatakuwa na kesi ya kujibu.

mnahangaikaje?

mkuu angalia usikimbia kivuli chako kazi ndiyo kwanza inaanza sisi ni wazalendo tunajadili mambo au wewe unataka tuwe na mawazo yako haiwezekani tunajadili mapungufu yote.

kwanza wala hatujuani wenye kazi maalumu ni wewe....na wenzako unaowafahamu lakini jitahidini kuwa na moyo mpana watu wameshawajua kuwa nyie siyo wanasiasa ni wasanii tu.
 
mkuu halafu slaa anaonekana kama anachuki sana na jk hizi chuki ni swala la urais tu au kunalingine,

kama ni urais haya mambo mbona yamepita kitambo sana yeye bado anachuki na jk na serikali yake kwa nini.

kwa maneno haya 'wao kama CDM, Hawakushirikishwa' ulitaka aendeje? Kama unatarifa kuwa Cdm walialikwa halafu Dr.slaa akatosa,hapo tutalaumu. Lakini mbowe anaweza kualikwa yeye kama yeye na si kama chama. Hata hivyo kuishirikisha CDM kwenye kusikiliza ahadi za kujengewa matundsu ya vyoo kwenye shule zetu, au kwenda kubariki Dowans=richmond na sasa symbion sio hoja ya msingi. Haya waachieni magamba.
 
Mbowe kuwepo haina maana kuwa CDM walialikwa. Inawezekana kabisa Mbowe alikuwa pale kwa wadhifa wake wa Mkuu wa kambi ya upinzani bungeni. Kama chama kingealikwa kila mtu anajua barua ingetumwa kwa katibu mkuu. Hapo ina maana kuwa kama Kinana hakuwepo au mwakilishi wake kichama then ina maana hata CCM nao hawakualikwa.
 
Ndugu yangu unaweza kujitakia matusi, kejeli na maswali magumu bila sababu. Kwanza umeamua au kwa makusudi au kutokujua kutosema gazeti that's the source of Dr.Slaa's remarks. Pili, umeshindwa kusema waziwazi the purpose of your thread not the answers to your query? Tatu kuliko kuleta thread ya aina hii ingekuwa vizuri kama ungewatafuta stakeholders -mratibu wa shughli nzima kutoa mwaliko mojawapo, Dr.Slaa na Mbowe. Majibu ambayo ungeyapata yangesaidia kutoa balanced thread na kupunguza wewe kuuliza maswali na ukashiriki kuyajibu na kuwafanya wengine wakachangia kwa jaziba na matusi. Na thread yako ingenda mbali zaidi katika kutoa somo kwa stakeholders wote na gazeti usilotaka kutaja likiwemo
Pole sana mkuu. Unachukua your precious time kushauri watu wasioshaurika. Remember that is the end of their thinking capacity. Don't waste your time. Just ignore them.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom