Nani alidanganya kati ya gazeti na Dr Slaa

Nani alidanganya kati ya gazeti na Dr Slaa

Status
Not open for further replies.
Nadhani huu mwaliko ulifika late na sidhani kama ulikuwa kwenye ratiba,maana ni kama vyama vyote vilikuwa vimesema kuwa havikupata mwaliko,hivyo inaonekana ama Mh Jk akashauriwa kuwa haitakuwa picha nzuri kwa upinzani kutokuwepo,ushauri unaweza ukawa umetoka kwa werevu ndani serikali au ndani ya maofisa wa marekani hasa ubalozini.....
 
Inaonekana Mbowe na Dr Slaa hawana mawasiliano mazuri au Mbowe alifanya makusudi kumficha Dr Slaa kuhusu mualiko wake Ikulu.

mkuu, barua zote official kwa chama ofisi ya katibu ndio inakuwa adressed. hata huko kwenu magamba ni hivyo hivyo. acha kupotosha mtanganyika mwenzangu ritz.
 
mkuu halafu slaa anaonekana kama anachuki sana na jk hizi chuki ni swala la urais tu au kunalingine,

kama ni urais haya mambo mbona yamepita kitambo sana yeye bado anachuki na jk na serikali yake kwa nini.

inaonekana jamaa ana roho mbaya sana .
 
mkuu, barua zote official kwa chama ofisi ya katibu ndio inakuwa adressed. hata huko kwenu magamba ni hivyo hivyo. acha kupotosha mtanganyika mwenzangu ritz.

Inawezekana huyu RItz alikuwa kwenye kamati ya kualika watu kwa hiyo anajua alichofanya ndiyo maana anang'ang'ana.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Tatizo la watanzania ni kuwa hawataki kufikiria zaidi ya wayasomayo kwenye magazeti!

1. Magazeti yanatoka lini kama si siku inayofuata baada ya mahojiano..?
2. Hivi haiwezekani ikawa kuwa hadi Dr. Slaa anahojiwa taarifa hizo hazikuwepo au zilikuja baada ya mahojiano..?
3. Je, kuna viongozi wengine wa vyama vya upinzani walionekana kwenye hiyo dhifa zaidi ya Mbowe na Maalim Seif (huyu inajulikana ni kwa nini)...?
4. Je, kama mialiko ilitolewa rasmi na mapema ni kwa nini ofisi za vyama vya siasa hazikuwa na taarifa...?
5. Kwani ujio wa Obama ulikuwa ni jambo la kushtukiza hadi ishindikane taarifa rasmi kutolewa kwa wakati...?

Mimi ninachojua ni kuwa nia haikuwepo na upinzani hawakushirikishwa kwa lolote ila kwa maneno ya Obama mwenyewe...

Kama inavyotokea kwa Egypt ndivyo ilivyotokea hapa Tanzania...WALILAZIMISHWA DAKIKA ZA MWISHO...."they were pressed very hard on such issues.."

they were pressed to wellcome mbowe only,what about mbatia,mrema,cheyo?the way i see is NOBODY PRESSED ANYONE.
 
Wakuu jana kunagazeti moja la kila siku liliripoti kuwa chadema yamsusa obama lakini baadaye humu jf nikasoma maelezo ya dk slaa akieleza kuwa wao kama chadema hawakushirikishwa kuhusika kwenye huu ugeni kwa maana hiyo hawawezi kujipeleka kwenye ugeni ambao hawakushirikishwa.

Lakini baadaye nikasoma post tena humu jf inabainisha kuwepo kwa mh.mbowe kwenye dhifa ya ikulu ambayo iliandaliwa na rais jk akimwandalia mgeni wake rais obama.


Hali hii ilifanya nijiulize ukweli wa hili gazeti uko wapi na ukweli wa slaa ni upi,awali nikajua ni ule mtindo wa magazeti yetu kuandika taarifa bila kutafiti yawezana slaa yuko sahihi kwa sababu ndiye katibu mkuu wa chama na barua zote hupita kwake kama katibu mkuu,lakini kilichonichanganya tena kusikia mbowe alikuwepo nikashindwa kujua nani aliudanganya uma ni gazeti au slaa au mbowe alialikwa kutokana na mahusiano yao mazuri na jk au mwaliko ulikuwepo lakini slaa akaamua kuongea alivyoongea na gazeti lile taarifa ile lilitoa wapi.

NANI MUONGO AU NINI UDHATI WA HALI HII

Yani kama hadi leo hujawajua kama chadema ni wasanii,pole!:majani7:
 
Mbowe ni kiongozi wa upinzani bungeni ambaye ni kama waziri mkuu kivuli,inawezekana alialikwa kwa nafasi yake hiyo,Pia tusishangae kusikia waliofanya uchambuzi wa nani ahalikwe na nani asialikwe ni wamarekani kwani tuliambiwa katika ziara hii ya obama CIA/FBI ndio waliokuwa wanachuja mawaziri,sasa ni uwanja wa ndege tu wakati wa mapokezi?au ni mahali popote obama atakapokuwepo?
 
Inaonekana Mbowe na Dr Slaa hawana mawasiliano mazuri au Mbowe alifanya makusudi kumficha Dr Slaa kuhusu mualiko wake Ikulu.

Ningeshanga sana kama usingeshadadia post hii!
 
Ni magazeti hayo hayo yanayodanganya siku zote, na babu slaa kwa kukosa uadilifi kama kawida yake akavamia magazeti bila uchunguzi, huku mbowe na wenzie wakimficha kuwa wamealikwa, angeandaa maandamano akisaidiwa na jambazi la arusha na lile la singida kuwaharibia wenzao
 
Slaa alisema "wao kama CHADEMA" na sio mtu binafsi. Unadhani kila aliealikwa pale alialikwa kwa kupitia chama chake..!?? Mbona Shibuda huwa anahudhuria sherehe za ccm kwani huwa ameenda pale kuwakilisha chama!? Afterall dhifa aliyoiandaa JK angeweza kumualika mtu yeyote kwa kadri yeye alivyoona inafaa. but here we are going to see the MINDS.
 
slaa kazidi uongo andhani uongo na uzushi ni sifa,sijui anafaidika na nini na huu uongo.
 
unajua mbowe humchukulia slaa kama redio anavyopiga kelele wenzake wanaburudika na kelele zake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom