Nani alidanganya kati ya gazeti na Dr Slaa

Status
Not open for further replies.

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
18,949
Reaction score
4,645
Wakuu jana kunagazeti moja la kila siku liliripoti kuwa chadema yamsusa obama lakini baadaye humu jf nikasoma maelezo ya dk slaa akieleza kuwa wao kama chadema hawakushirikishwa kuhusika kwenye huu ugeni kwa maana hiyo hawawezi kujipeleka kwenye ugeni ambao hawakushirikishwa.

Lakini baadaye nikasoma post tena humu jf inabainisha kuwepo kwa mh.mbowe kwenye dhifa ya ikulu ambayo iliandaliwa na rais jk akimwandalia mgeni wake rais obama.

Hali hii ilifanya nijiulize ukweli wa hili gazeti uko wapi na ukweli wa slaa ni upi,awali nikajua ni ule mtindo wa magazeti yetu kuandika taarifa bila kutafiti yawezana slaa yuko sahihi kwa sababu ndiye katibu mkuu wa chama na barua zote hupita kwake kama katibu mkuu,lakini kilichonichanganya tena kusikia mbowe alikuwepo nikashindwa kujua nani aliudanganya uma ni gazeti au slaa au mbowe alialikwa kutokana na mahusiano yao mazuri na jk au mwaliko ulikuwepo lakini slaa akaamua kuongea alivyoongea na gazeti lile taarifa ile lilitoa wapi.

NANI MUONGO AU NINI UDHATI WA HALI HII
 
Inaonekana Mbowe na Dr Slaa hawana mawasiliano mazuri au Mbowe alifanya makusudi kumficha Dr Slaa kuhusu mualiko wake Ikulu.
 
wakuu jana kunagazeti moja la kila siku liliripoti kuwa chadema yamsusa obama lakini baadaye humu jf nikasoma maelezo ya dk slaa akieleza kuwa wao kama chadema hawakushirikishwa kuhusika kwenye huu ugeni kwa maana hiyo hawawezi kujipeleka kwenye ugeni ambao hawakushirikishwa.

Lakini baadaye nikasoma post tena humu jf inabainisha kuwepo kwa mh.mbowe kwenye dhifa ya ikulu ambayo iliandaliwa na rais jk akimwandalia mgeni wake rais obama.

Hali hii ilifanya nijiulize ukweli wa hili gazeti uko wapi na ukweli wa slaa ni upi,awali nikajua ni ule mtindo wa magazeti yetu kuandika taarifa bila kutafiti yawezana slaa yuko sahihi kwa sababu ndiye katibu mkuu wa chama na barua zote hupita kwake kama katibu mkuu,lakini kilichonichanganya tena kusikia mbowe alikuwepo nikashindwa kujua nani aliudanganya uma ni gazeti au slaa au mbowe alialikwa kutokana na mahusiano yao mazuri na jk au mwaliko ulikuwepo lakini slaa akaamua kuongea alivyoongea na gazeti lile taarifa ile lilitoa wapi.

NANI MUONGO AU NINI UDHATI WA HALI HII

Mkuu angalia kwa makini maneno hayo hapo juu! Wao kama CHADEMA. Ni kweli mimi nilimuona mbowe akikamata sharubati pale jengo jeupe wakati JK akitoast kwa ajili ya afya ya mgeni wake.

Watakuruka sasa hivi kwani Mbowe kama Raia wa Tanzania anaweza kualikwa Ikulu na isihusishe CHADEMA. Mkuu hujui kiutawala Mbowe ni sawa na Naibu Waziri wa Serikali?
 
Waliishobokea ziara ya obama utadhani wao ndio waliomualika
 
ahsante mkuu kwa ufafanuzi wako yote yanawezekana mkuu.
 
Inaonekana Mbowe na Dr Slaa hawana mawasiliano mazuri au Mbowe alifanya makusudi kumficha Dr Slaa kuhusu mualiko wake Ikulu.

Mkuu Ritz una mambo mazito kweli kweli! Mwenyekiti amfiche mwaliko Katibu Mkuu? Kwani kadi ilikuwa ya mt7u mmoja tu si wangeenda wote: Mbowe atumie mwaliko wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Dr. Slaa mwaliko wa CHADEMA?
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana Mbowe na Dr Slaa hawana mawasiliano mazuri au Mbowe alifanya makusudi kumficha Dr Slaa kuhusu mualiko wake Ikulu.

Sio kwamba hakuna mawasiliano kaka,mbowe ni bosi wa Dk Slaa lakini mara zote Dk Slaa anapenda kila kitu ashiriki yeye ni mtendaji tu na kwanza huo mwaliko ulikwenda kwa nani lazima kwake then afikishe kwa bosi wake.
 
Kama ile barua ya zitto kwa katibu mkuu ilitoka mitandaoni, kwann isiwe taarifa za mbowe na slaa wakati tunajua kabisa urafiki wao una mashaka makubwa
 
Waliishobokea ziara ya obama utadhani wao ndio waliomualika

mkuu halafu slaa anaonekana kama anachuki sana na jk hizi chuki ni swala la urais tu au kunalingine,

kama ni urais haya mambo mbona yamepita kitambo sana yeye bado anachuki na jk na serikali yake kwa nini.
 
Wamezoea usanii wa kisiasa hawa panua vidole, subiri tamko lao kesho uone watakavyofarakana na kukataana
 
Sio kwamba hakuna mawasiliano kaka,mbowe ni bosi wa Dk Slaa lakini mara zote Dk Slaa anapenda kila kitu ashiriki yeye ni mtendaji tu na kwanza huo mwaliko ulikwenda kwa nani lazima kwake then afikishe kwa bosi wake.

mkuu,kwa hiyo ile hali ya umwamba ya slaa ndani ya chama yawezekana mbowe kaamua kufanya kitu kumuonesha slaa kuwa mbowe ni bosi wake.
 
Wamezoea usanii wa kisiasa hawa panua vidole, subiri tamko lao kesho uone watakavyofarakana na kukataana

mkuu kumbuka vyama haviongozwi kwa matusi na matamko bali kwa siasa safi na hoja zenye manufaa kwa watu.
 
Huu ujinga .Nadhani shule ndogo na roho wa uzushi for sure .Yaani wewe magazeti yote yaacge kuandika na kutoa picha za Mbowe mnazusha hapa ? It is time for you to get real for sure .Mnabaki kulia lia na kupoteza resources .Can you prove De.Slaa wrong kwa kuleta gazeti lenye habari hii ya Mbowe ? Kwa nini mnaacha kuongelea real issue kama vile uongo wa CCM na faida ya Obama kuja Tanzania badala ya kuzusha ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom