Nanasi Lililoozea Ndani...

dah, Mentor kinachonihuzunisha ni kuwa ni stori ya kweli :disapointed:
asante kwa kuturudisha back to reality mara mojamoja
 
Last edited by a moderator:
Kwa hakika ni kisa chenye kufundisha sana kwa watu wote na tukumbuke kwamba UKIMWI upo na tuchukue tahadhari sana kwa maisha yetu.Binafsi nimejikuta natafakari sana mwelekeo mpya kwa janga hili la UKIMWI.
 
Ningependa kuwasiliana na Mentor nina kitu kizuri nataka kumwambia...siwezi kukiweka hapa. Please Mentor tuwasiliane.
 
Hahahahahahahaha
 
Last edited by a moderator:

Ingekuwa Nicas Mtei amejipiga Pistol kwa kweli hadithi ingekuwa ileile.
Back to the story: Mara nyingi haya matunda ambayo hayajavundikwa ndio huwa yanafuatwa na wadudu so inapotokea umelimega pasi na tahadhari basi wale wadudu wanahamia kwako. Ila kutoa seal na sox nayo inataka moyo kweli aisee 'mbe'
 
Last edited by a moderator:
daaah..ama kweli ni vyema kua makini kila mahali,kila wakati na kwa kila mtu ...asante Mentor kwa kutukumbusha tena
maisha tunayapenda sana...
 
Last edited by a moderator:
donti wori zis time utaniweiti kituo cha daladala naamini hutakuwa bored maana utehesabu magari na kujua aina zake ili utakapokuwa tayari kuninunulia nikikutajia jina tu utalijua.....:clock::clock::clock:

Babu Asprin unaona wajukuu tunavyoteswa? Halafu uniambie mvumilivu hula mbivu eti!???

Meku, una ukrasa kwa bwana champion? Kama huna, fanya hima akupe ukrasa

Aisee sina wawae...ngoja nifanye hima! Wao hawako huku wani-pm!??
 
Last edited by a moderator:
dah, Mentor kinachonihuzunisha ni kuwa ni stori ya kweli :disapointed:
asante kwa kuturudisha back to reality mara mojamoja

Am glad u learned something...umenionelea wapi Blue G naye asome hapa?

Kwa hakika ni kisa chenye kufundisha sana kwa watu wote na tukumbuke kwamba UKIMWI upo na tuchukue tahadhari sana kwa maisha yetu.Binafsi nimejikuta natafakari sana mwelekeo mpya kwa janga hili la UKIMWI.
MSeush, better b a fool before people..lakini uishi kwa raha n stress free!

Ningependa kuwasiliana na Mentor nina kitu kizuri nataka kumwambia...siwezi kukiweka hapa. Please Mentor tuwasiliane.

Poa mkuu nangojea PM yako..au wewe ndo mdau wa gazeti la champions nini?

Nicas huyu wa kwenye hadithi hii siyo 'mangi' andhani ndiyo maana aliamua kuchukua hatua hii.

Mbe kwanza unaanzaje kuitoa na sox mbe, na iheshimiwe na watu wote...Cc: Kaizer

Naona umeainisha list ya Mabazazi maarufu.. Hao jamaa ni msala aisee

Akawasahau silent killers: Filipo na LiverpoolFC

basi sitaki tena

Kweli mkuu acha kabisa...

Muulize Mentor anamfaham!!

Mi thimo!:tape:

daaah..ama kweli ni vyema kua makini kila mahali,kila wakati na kwa kila mtu ...asante Mentor kwa kutukumbusha tena
maisha tunayapenda sana...
mwallu mtawa hii sikudhani kama inakuhusu:disapointed:...au umemaanisha kushukuru kwa ajili ya kwenda kuwaelimisha vijana wa parokia!??
 
Last edited by a moderator:
Eti mamii huyo daktari anapatikana wapi. Kuna kabinti huku ndani nataka anisaidie kukapimamo. Ukaguzi umekuwa mgumu sana kwa haka kabinti.

Hahahaha Babu ODM ina maana umezeeka na ujuzi wako nao umezeeka? Ule msemo wa kuwa ng'ombe hazeeki maini kwako haufahamiki?
 
inanihusu sana..nahitaji mifano kama hii nikiwa natoa somo kwa waumini..hasa vijana wa kike
 
Last edited by a moderator:
Dah, ushaniharibia, nilikuwa na miadi leo. Ngoja nikabwie alter wine moja, maana ile makitu nikipata huwa ina deactivate kabisa hormone...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…