Nanasi Lililoozea Ndani...

Join Date : 8th March 2008
Location : Psychiatric Ward
Posts : 27,725
Rep Power : 257486

Likes Received16801

Likes Given23669


kweli unastahili kupokea tuzo ya utabibu mwaka huu



 
hii stori inahuzunisha, ogopesha na inatia simanzi kabisa
vitu vinavyoonesha kwa nje ni vizuri kumbe ndani ni muozo
si rahisi kufikiria ukadhani umepata kumbe umepatikana
mkuu Docta babu Asprin kuwa macho
kaka yangu Bujibuji take care kwa jambo hili
 
Last edited by a moderator:
umesahau kuwaambia jinsi mimi na wewe tunavyogongana kavuuuuuuuuu! watuwache hubby wangu, tena watupe pumzi! nakupendajeeeeee??

Sasa ulivokuwa mtamu nitumie tena kondom. Achaga tu nikanyagemo hayo manyaya. Watuwaaache mpk wakome
 
This's so vivid...kuna asilimia fulani ya vijana wa kike na kiume wanaishi na HIV ka maambukizi wakati wa kuzaliwa.
 
Mwe umenikumbusha Dr.chrispin!nimekusikia Mentor najali sana afya yangu kuliko chochote kingine!

Eti mamii huyo daktari anapatikana wapi. Kuna kabinti huku ndani nataka anisaidie kukapimamo. Ukaguzi umekuwa mgumu sana kwa haka kabinti.
 
Last edited by a moderator:

i heard u kaka....loud and clear!
 
Last edited by a moderator:
Binti mzuri sana, mrembo, wife material, msomi, pole sana kwa binti!
Ila huyo mkware akome uzinzi! Mungu hamlindi mzinifu!
Kamnywesha mapombe ili agegede kiulaini, akome, salamu ziwafikie wapenda bikra wote....
 
Sasa ulivokuwa mtamu nitumie tena kondom. Achaga tu nikanyagemo hayo manyaya. Watuwaaache mpk wakome
the first game was awesome! will never forget! bby u r the best! mwahhhhhhhhh!
 
i heard u kaka....loud and clear!

Sina maana hiyooooooo...sawa mdogo wangu!??

Binti mzuri sana, mrembo, wife material, msomi, pole sana kwa binti!
Ila huyo mkware akome uzinzi! Mungu hamlindi mzinifu!
Kamnywesha mapombe ili agegede kiulaini, akome, salamu ziwafikie wapenda bikra wote....

Emirates4, Uihukumu usije ukahukumiwa!!!!

Oooh mbe...shikeiya

Haika wawae..!

hivi maplayer ni akina nani? Maana wote tunanyoosha vidole....

Nimewataja kwenye post #2 na hawa wengine ni nyongeza: Nyani Ngabu, Bujibuji, Mr Rocky, Judgement, Erickb52, Baba V, et al...

Mie napita tu hapa

Umepita na viatu vichafu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli my dia....nitaongea naye baadaye jioni nijue pia majibu yake yakoje.

Btw, naomba date nyingine...ila zis taimu donti kipu mi weiting at one coconut laiki lasti taimu.[/QUOTE]



donti wori zis time utaniweiti kituo cha daladala naamini hutakuwa bored maana utehesabu magari na kujua aina zake ili utakapokuwa tayari kuninunulia nikikutajia jina tu utalijua.....:clock::clock::clock:
 
Meku, una ukrasa kwa bwana champion? Kama huna, fanya hima akupe ukrasa
 
Ama kwa hakika hadithi hii inafundisha sana kwa wote wenye tabia hizo za UKWERE.Lakini kwa wote ni kisa kizuri kutafakari mwelekeo wetu sote.Asante mleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…