AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 1,203
- 2,925
Na waliomshuhudia wema sepetu,irene woya wa kanumba wasemeje na waliomshuhudia ray c je nao watalonga ni
Mkuu,Mara nyingi hizo ni kauli za kujipa moyo haswa pale unapogundua kuna wanawake fulani utabaki kuwasikia na kuwaona kwenye medias tu..
Kama unataka asiyekunya kanunue dolls..
500k usiku mmoja atakataa ?Fungal tu bwashee, ila huyo mtoto nataka niweke hata kidole tu bwashee 😅
Unavyoanza tu unajionesha mjinga.Naendelea kuhitimisha juu ya uwezo wako finyu wa kufikiri.
Kunya siyo inefficiency, it's a biological function. And mind you, a system that cannot execrete waste is the most inefficiency system.
Huwezi kurelate waste na imperfection.
And if your definition of beauty is a system that produces no waste basi kiuhalisia there is nothing beautiful in existence. Since human, plants, animals, all produce waste.
And definitely hata neno 'beauty' lisingekuwepo.
Beauty in design is not the absence of waste. Efficiency is not the absence of waste. And elegance is not the absence of biological functions.
Ufanisi si kutokuwa na uchafu. Urembo si kutokuwa na kazi za kibaolojia. Na elegance si kutokunya. Ewe mwanahizaya.
Unaanza kuruka ruka tena.
Haha, kanajitahidi - kako vizuriIla nana dolls ni mkali au sio mkali bwashee 😁
Ngoja nijiweke pembeni kuepusha msangamano. 😁😁Huyo mtoto kama una pesa za mawazo kaa kiaskari bwashee 😆
Sijasema kwamba biological function haiwezi kuwa inefficient.Unavyoanza tu unajionesha mjinga.
Unasema "Kunya si inefficiency. It's a biological function".
Kama vile biological function haiwezi kuwa na inefficiency.
You are a semi-literate nincompoop.
Au sio mangi, wangapi wamekuwa wazuri hivyo na bado mlipigana chini.Bwashee haka kabinti ni kazuri lakini 😅😅
Anakunya.Anakunya hanyi?
Utamuweza kwa muktadha upi?Wengi tu ila haka nakazimia mbaya mbovu 😅 nikafuata ig kakaishia kucheka tu, kakaniambia wewe mlevi utaniweza ?🤣
Katika systems, energy wate = inefficiency.Sijasema kwamba biological function haiwezi kuwa inefficient.
Nilichosema ni kwamba kuwepo kwa biological function hakuthibitishi inefficiency.
Kunya ni function ya mwili ya kuondoa metabolic waste ambayo mwili hauwezi kutumia.
Ili useme ni “inefficiency", unatakiwa kwanza uonyeshe kwamba mwili ungeweza kuzuia au kutengeneza hiyo waste bila kupoteza kitu chochote, lakini unashindwa kufanya hivyo.
Otherwise, kusema “there is waste, therefore the system is inefficient” ni non sequitur.
Kwa mfano, gari likitumia fuel na kutoa exhaust, kuwepo kwa exhaust pekee hakuthibitishi kwamba engine ina malfunction. Unahitaji kuonyesha kwamba exhaust hiyo inatokana na poor performance beyond what the system inherently requires.
Vivyo hivyo kwa mwili, excretion is not automatically evidence of inefficiency.
Na bado hujajibu swali langu la msingi: kwa nini “waste product” automatically iwe “opposite of beauty”?
Hapo ndipo argument yako bado inaporomoka. 😂😂😂
Wewe jamaa ni takataka..
Utamuweza kwa muktadha upi?Wengi tu ila haka nakazimia mbaya mbovu 😅 nikafuata ig kakaishia kucheka tu, kakaniambia wewe mlevi utaniweza ?🤣