Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 43,995
- 110,390
Nishabanika maini kwenye glass ya grants kubwa hapamkuu....🤣Mno mwanagu tulewe tu😆
Kuna bibi nilikua namuwinda kitamboooo, hapa nishambana kwenye kona mazeee...😂
Naongezq bidii tu, maana akinitema tu, na alivyo muimba kwaya kesho aibu yangu church....😮💨