Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,112
Dudu Baya, amepandisha joto la bifu kwenye tasnia ya muziki baada ya kumjia juu msanii mwenzake Suma Mnazaletti kufuatia wito wa Suma kuwataka wasanii kuungana kumpinga.
Dudu Baya ametumia mitandao ya kijamii kurusha kombora zito dhidi ya Suma Mnazaletti, akidai kuwa msanii huyo hana kazi ya maana mjini zaidi ya kufanya usafi wa nguo za ndani za wasanii wa WCB. Katika kauli yake, Dudu Baya alisema:
Jibu hilo kali kutoka kwa Dudu Baya limekuja kama muendelezo wa mzozo ulioanza baada ya Suma Mnazaletti kutoa wito kwa wasanii wote nchini kuungana ili kumpinga Dudu Baya. Suma alichukua hatua hiyo kukemea kitendo cha Dudu Baya kumshambulia na kumwita msanii Ommy Dimpoz maneno ya udhalilishaji ("chakula").
Mpasuko huu umeendelea kuibua mijadala mizito miongoni mwa wadau na mashabiki wa burudani mitandaoni, huku wengi wakisubiri kuona kama baraza la sanaa au wadau wa muziki wataingilia kati ili kutuliza mzozo huo unaozidi kuchochea lugha za kashfa kwenye jamii.

"Suma wewe hutuwezi Mambaz 24, wewe huna kazi yoyote zaidi ya kufua chupi za Zuchu na boksa za Diamond na nepi za mtoto wao Sandrah, Suma linda mgongo wako hali ni mbaya."