Nana dolls

Nana dolls

Status
Not open for further replies.
Wewe ni hewa.

Wala mimi sijasema mwanamke huyo ni mrembo. Nimetatizwa na kauli yako kuwa kama anakunya basi si mrembo.

Hivi, umewahi kumuona asiyekunya? Ni binadamu? Kwa sababu, kwa mtazamo wako wewe basi kuna ambaye hanyi na ndiye mrembo kwako.

Je, yupo?

Ungekataa kwa sifa nyinginezo, wala usingeona nauliza. Ila kwa sababu hiyo ni sifa universal za kila binaadam, potelea mbali mwanamke, nimeshurutika kuuliza.

Acha upoyoyo wa kutaka kuonesha utofauti. Mpaka unapitiliza.
Nimekupa somo kubwa la kifalsafa kuwa binadamu wote tuna mapungufu na hivyo hakuna mrembo hivyooo.

Waswahili wanasema hakuna kizuri kisicho kasoro.

Ila wewe akili ndogo hujaweza kulielewa somo hili.
 
Nimekupa somo kubwa la kifalsafa kuwa binadamu wote tuna mapungufu na hivyo hakuna mrembo hivyooo.

Waswahili wanasema hakuna kizuri kisicho kasoro.

Ila wewe akili ndogo hujaweza kulielewa somo hili.
Kunya si sehemu ya mapungufu ya binadamu. Na hakuna falsafa yeyote iliyowahi kutaja kama kunya ni kasoro, la hasha!

Bali anayekosa sifa hiyo ndiyo anaonekana kuwa na kasoro na matatizo.

Ni sifa ya kipekee na ya muhimu.

Akili zako ni finyu.

Kushindwa kutofautisha kati ya mapungufu na sifa za kipekee.
 
Kunya ni inefficiency, ni a system not being able to process energy efficiently and excreting it as waste product.

Ni kutoa uchafu.

It is the opposite of perfection. The opposite of beauty.

Ndiyo maana watu wanakunya in privacy.

Ila wewe huwezi kuelewa hili somo kwa sababu hujui mengi kuhusu beauty in design, hujui elegance.

Unakubali tu kwa sababu tunakunya wote, basi ni sawa tu.

Kumbe kunya ni mapungufu 😂😂😂
 
😅😅
 
Heee!aisee....
Watu mnaenda kuchanganyikiwa kwa hizi reasoning.
 
Heee!aisee....
Watu mnaenda kuchanganyikiwa kwa hizi reasoning.
Inawezekana ni wewe ndiye unaenda kuchanganyikiwa kwa kutokujua kufuatilia mambo kimantiki, kwa muktadha, kwa the right temperament.

Yani unaweza kuchanganyikiwa kwa kutoelewa muktadha wa jambo tu.

Ndiyo maana mwanangu min -me anacheka tu hata ninapomwambia anapiga Grants za weekend, na wewe unaona watu wanachanganyikiwa.
 
Najua Madoni wameshakachapa sana , ila lazima na mimi niweke pesa bwashee 😅 kwani nakunywa pesa za shilingi ngap😅
Halafu unajua Madoni wakishakachapa wanaweza kukaona ka kawaida tu, ila wewe ambaye hujakachapa ukakaona almasi fulani hivi.

Na wewe siku ukishakachapa unaweza kukaona kawaida tu?

It is all subjective.

Ndiyo maana nakwambia kakishakuwa kanakunya tu, ni ka kawaida tu, ila upwiru tu unatudanganya 😂😂
 
Umeuliza swali halafu unajijibu mwenyewe.

Suala la urembo ni suala la mtu binafsi kuamua wala hakuna urembo ulio objective.

Mimi sijaona cha ajabu hapo. Naona labda vijana wana upwiru tu wanazuzuka na manywele ya kununua na ma makeup hayo.

Kunya kunakuonesha ni mtu tu kama wengine, hana cha ajabu hiivyo.

Angekuwa hanyi labda tungesema huyu si wa kawaida.
Mara nyingi hizo ni kauli za kujipa moyo haswa pale unapogundua kuna wanawake fulani utabaki kuwasikia na kuwaona kwenye medias tu..

Kama unataka asiyekunya kanunue dolls..
 
Kunya ni inefficiency, ni a system not being able to process energy efficiently and excreting it as waste product.

Ni kutoa uchafu.

It is the opposite of perfection. The opposite of beauty.

Ndiyo maana watu wanakunya in privacy.

Ila wewe huwezi kuelewa hili somo kwa sababu hujui mengi kuhusu beauty in design, hujui elegance.

Unakubali tu kwa sababu tunakunya wote, basi ni sawa tu.

Kumbe kunya ni mapungufu 😂😂😂
Naendelea kuhitimisha juu ya uwezo wako finyu wa kufikiri.

Kunya siyo inefficiency, it's a biological function. And mind you, a system that cannot execrete waste is the most inefficiency system.

Huwezi kurelate waste na imperfection.

And if your definition of beauty is a system that produces no waste basi kiuhalisia there is nothing beautiful in existence. Since human, plants, animals, all produce waste.

And definitely hata neno 'beauty' lisingekuwepo.

Beauty in design is not the absence of waste. Efficiency is not the absence of waste. And elegance is not the absence of biological functions.

Ufanisi si kutokuwa na uchafu. Urembo si kutokuwa na kazi za kibaolojia. Na elegance si kutokunya. Ewe mwanahizaya.

Unaanza kuruka ruka tena.
 
Halafu unajua Madoni wakishakachapa wanaweza kukaona ka kawaida tu, ila wewe ambaye hujakachapa ukakaona almasi fulani hivi.

Na wewe siku ukishakachapa unaweza kukaona kawaida tu?

It is all subjective.

Ndiyo maana nakwambia kakishakuwa kanakunya tu, ni ka kawaida tu, ila upwiru tu unatudanganya 😂😂
Ni kweli kabisa bwashee 😅😅 ila nifanikiwe kukachapa kwanza😆
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom