Nana dolls

Nana dolls

Status
Not open for further replies.
Bwashee hii pisi ya moto sna ikiongea tu chuma lazima isimame
Screenshot_20260810_184635_Instagram.jpg
 
Kuna ile pisi aliyoiacha Jux kabla kuoa huyu mnigeria. Ile pisi Black Beauty flan hivi amazing sijui ndo wanaita maji ya kunde sijui chocolate. Sijui anaitwa nani yule Dada. Unajua kuna tofauti kati ya mwanamke mzuri na mrembo. Ila kuna wanawake wanavyo vyote. Tatizo tunatofautiana kujudge uzuri wa mwanamke, kuna wengine ni ule weupe, wengine makalio, wengine sura.
Yule dada kweli mkali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom