Nana dolls

Nana dolls

Status
Not open for further replies.

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
57,487
Reaction score
164,500
Huyo mtoto ni maini matupu, sijaona binti mrembo kama huyo kwenye tasnia ya sanaa, katoto katamu sana kana akili ya haraka mno .

Ngoja nisake pesa
Screenshot_2026-08-15_173354.jpg
 
Kuna ile pisi aliyoiacha Jux kabla kuoa huyu mnigeria. Ile pisi Black Beauty flan hivi amazing sijui ndo wanaita maji ya kunde sijui chocolate. Sijui anaitwa nani yule Dada. Unajua kuna tofauti kati ya mwanamke mzuri na mrembo. Ila kuna wanawake wanavyo vyote. Tatizo tunatofautiana kujudge uzuri wa mwanamke, kuna wengine ni ule weupe, wengine makalio, wengine sura.
 
Karen bujulu
 
Yeah ni mzuri kiasi chake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom