Anaitwa Wastara na ni MKE wa mtu kwahiyo ishia hapohapo.
So umemzimia kwasababu hana skendo??? Ashawahiwa huna bahati.sijaanza kumsikia na kumuona leo kaka. kwani umeshawahi kusikia ana scandal yoyote bongo hii!!??
umemtamani tu kwa kumwangalia tu. kwanza mke bora haangaliwi usoni tu.
Napenda wa type yake,she looks innocent.