Namzimia sn huyu

Namzimia sn huyu

Mke wa mtu ni sumu.jifunze kuzimia mahala ambapo hakuna aliezimia kwanza.
 
Ndiyo maana nikasema naheshimu mipaka kaka, ila i wish nije kupata wa mfano wake.

apo sawaa! mwachie mwenzio alishawahi....ofcoz wa namna hii bongo wapo.
 
Wewen rogi acha tamaaa kumbe unajuwa nimke wa mtu???????? `utafinywa` wewe then tukuone laivu magazetini..kumbuka kwenye moshi kuna moto...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom