Namzimia sn huyu

Angekuwa wangu ht km hana yote its oky so long as ananipa furaha. sijui huwa nna nn manake huwa najikuta napenda kuwa na urafiki na mabinti wenye matatizo viungo/kimwili. nilipokuwa O-Level nilisikia shuleni kuna binti anasoma mkondo mwingne ana matatizo ya kichwa na kila baada ya miezi 6 anapelekwa India kwa matibabu, nilimtafuta kwasabbu nilimhurumia jinsi alivyo na amekuwa rafiki yangu mpk leo. Nashukuru Mungu ananikubali kwa wema na ukarimu wangu.
 
mie namzimia huyu
LINAH.jpg
 
daah huyu nakumbuka nilimuona vizuri siku Clouds wanazindua kipindi cha kambi popote
 
Sometimes women can be likened to an innocent painless small scab, which if you happen to open it, you uncover a big volume of foul smelling pus!
 
Sometimes women can be likened to an innocent painless small scab, which if you happen to open it, you uncover a big volume of foul smelling pus!

Hiyo comparison yako inaniacha hoi kabisa.

Unaweza kumwita mama yako hivyo? Maana na yeye alikuwa kijana vile vile.
 
Watz bwana, wanapost picha zao na kupima upepo jinsi wanavyokubalika ktk jamii! Tehe tehe tehe, mimi kwisabaini janja ya nyani.
 
Mh! hiyo picha umetowa wapi? au umeshakula mke wa mtu unaleta picha kumkejeli? how did you know that she is innocent. watch out brother! what if a husband is moving around here? Omba utapata mke mwema na mzuri asiyefananishwa na kitu chochote.

Sema AMEN
 
Huyu dada ni maarufu so huwezihoji eti picha nimeitoa wapi. watu mbona wana avatar ambazo ni za watu maarufu wa nje humu.
 
hivi hiyo ni milipu sitiki au usubi????aaah kawaida sana bana ...mtakuja kuchomwa visu bure kumbe miviazi tu
 
Jenga tabia ya kuwaheshimu heshima ya ukweli na kuwaogopa kabisa wake za watu ndugu yangu!
 
Back
Top Bottom