Namzimia sn huyu

Namzimia sn huyu

Si umuoe uwe mume mwenza? Leo analala kwako, kesho kwa mume mkubwa! Kama inawezekana, kama haiwezekani, tafuta wako!
 
Napenda wa type yake,she looks innocent.

Utampata wa aina yake kaka usijali, mshirikishe Mungu kwa wazo lako bora iwe kwa mapenzi mema. Kwa hakika hata mimi nampenda na kumheshimu.
 
Sometimes women can be likened to an innocent painless small scab, which if you happen to open it, you uncover a big volume of foul smelling pus!

Na wote wa jinsi ya kike wanaokuhusu, mama, dada, bibi, shangazi nk I think you are still proud of your tongue/fingers.
 


Anaitwa Wastara na ni MKE wa mtu kwahiyo ishia hapohapo.

Vya watu ndio vitamu tena haviishi hamu. Hivyo mzigo ukikaa vizuri chukua. Mbona Semunge sio mbali! mtaenda kupata kikombe kwa Ambilikile.
 
attachment.php
attachment.php
 
Anaitwa Wastara na ni MKE wa mtu kwahiyo ishia hapohapo.

hilo ni gwanda la ccm au....??!! kama ni gwanda la ccm, na ni mke wa mtu, basi.....sina comment zaidi nadhani mwaelewa namaanisha nini!
 
huyu si ni mke wa Sajuki?nasikia alipata ajali akakatwa mguu, aliolewa akiwa na watoto wawili tayari na alikua amezaa na wanaume wengine
 
jamani, msema kweli mpenzi wa Mungu huyu dada naezimia vibaya mno naheshimu mipaka but nimeona nitoe dukuduku langu.


Ana sifa kama za wanawake wengine woooote hana tofauti na mke yeyote sanasana labda ni mwana CCM kama vazi lake.


USIONE CHOO KIZURI LAKINI NDANI YAKE KUNA MAVI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom