Namzimia mume wa jirani

Namzimia mume wa jirani

Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.

Si ndo mimi?!, ni PM tumalizane. hata mimi nakutamani sana
 
mcheki mama gaude wangu akupe mbinu za medani...mambo madogo hayo akina michelle watakuyeyusha tu hapa
 
mcheki mama gaude wangu akupe mbinu za medani...mambo madogo hayo akina michelle watakuyeyusha tu hapa

Huwezi jua nilishachukua wa mtu yakanikuta makubwa.....l.o.l
simshauri,angekuwa si mume wa mtu ningempa ushauri......mwenyewe mkali kama nini!!!
 
Ndugu,

Nakushauri acha mchezo wako mchafu,na usiwe na tabia ya kuharibu ndoa za wenzako,ridhika na wako,Ogopa ukimwi na hizo tamaa zako ni mbaya sana.Ndoa na iheshimiwe na watu wote,watu wote semeni Ameni,Dada yangu njoo kwa YESU - Uponywe una pepo la Zinaa/Ngono
 
Not Enough.... Hivi sio rahisi kuiga hayo mazuri yote ya huyo jamaa, na ukajaribu kumfanya wako akawa kama huyo...?,
Sababu Action zako zinaweza zikaumiza wengi, kuanzia kuvunja ndoa mpaka kusarambatisha familia na watoto kukosa malezi..
 
Nakushauri usiparamie vilivyogharamiwa. Ni hilo tu, fight temptations!!
 
Oyoooo Mume wa mtu mtamu nakumbuka hii sentensi kumbe ina kaukweli. Jiflitishe mamito utampata tu ukiamua
 
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
Kuwa mwangalifu!inawezekana jamaa akawa mpenzi mkubwa tigo!!!
 
Ni vema kuelezea hisia zako kama hizi, lakini chukua ushauri wote mzuri uliotolewa na nimepitia posts zote kwa umakini.
Jizuie na matamanio, Jiepushe na mume wa mtu daima dawamu.
 
Vizia umbake, sasa ufanyaje kama ha respond?
 
nenda kwake bila chupi...alafu unakaa vibaya vibaya. cha muhimu wife asishtuke tu!
 
Sredi nyingine bana, kupotezeana muda tu
Yaani umeona humu ndo kuna wanawake wanaotafuna waume za watu???!!!
We nenda kamwambie mke wake kwamba unamtaka mume wake
Kwinsheiiiiiiiiiiiiiii
 
you rock Michelle, I wish I could see u one day bz ur comments are always very crucial and meaningful.
I admire ur comments.
keep it up
My dear,naona umedhamiria,kama umefanya kila kitu haja respond,mpotezee,si kwamba hakuoni bali hakuhitaji,unajichoresha tu kwa tamaa ambazo una uwezo wa kuzizuia hata ukifanya bidii kidogo.....yaani mbele ya macho yake anakuona pepo fulani hivi linalotaka kumuharibia maisha yake.....mwanaume angekuwa anakutaka mbona tayari mngekuwa mbali? mtafute wa peke yako acha kuendekeza tamaa kwa wanaume wa wenzio waliotunzwa vizuri,tafuta wako mtengeneze vizuri.....you deserve your own man.....acha desperation,unaonekana kituko........

Lakini pia waweza muuliza mkewe alimpataje kama ukiona huwezi kabisa!!!! :laugh::laugh::laugh:
 
Back
Top Bottom