Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,920
mmmmh hapa hapanifai ,isije kuwa unamuwinda mme wangu:coffee::sick:
Ahahahahaaaaah!! Abiria chunga mzigo wako....
mmmmh hapa hapanifai ,isije kuwa unamuwinda mme wangu:coffee::sick:
I hope si wangu, i can really kill.
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
Hahahah shosti umenichekesha sana, dada 'not enough' naomba kujua your marital status ili niweze kukushauri ipasavyo.
married with one kid
married with one kid
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
wow!!:twitch::twitch:
Mbona mwenyewe umeingia mitini?
Namtaka kimapenzi
Dada wewe mume wa mtu sumu hasa mke akijua huwa ni hatari sanasana. Muombe mungu akupe wa kwako na wewe ummiliki kama huyo unayemuonea gere. Ila kama umekomalia ushauri wangu ni huu hapa
Anza kumsifia ukikutana nae barabarani, then vizia siku ingine kama una gari usitumie omba lifti, ukipata nafasi ya kuongea nae msifie mkewe , mtoto wake. pia kama ana mtoto mdogo anza kumzoea pia. siku nyingine ukimwona anapita jifanye na wewe unatoka msalimie muulize anaelekea wapi mida hiyo,then akishakuwa karibu kidogo tu na wewe anza kama kuomba ushauri wa kitu fulani, siku ingine ukipata nafasi ongelea umefiwa hivi hata kama uongo liaaaaaaa ataanza kukubembeleza akiwa anakubembeleza toa lile jicho flani hv, taratibu we utaona kaanza mazoea fulani ila wewe siku zote jifanye huna interest nae, Na kuulizia kama home hawajambo?mwisho kabisa mambo yatajiseti yenyewe tu wewe mtu mzima bwana.