JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,023
Kwani Rais Magufuli hajaendeleza maeneo mengine?angalia Dodoma, Dar, Arusha na mikoa mingine. Tuache kuitumia hoja ya Chato kisiasa kumchafua Rais wetu. Maendeleo ya Chato ni ya Taifa zima. Mlizoea kanda hii kunyanyaswa hamna Chuo kikuu cha Taifa, Uwanja wa Mpira wa Taifa, Uwanja wa ndege wa kimataifa licha ya mchango mkubwa wa GDP wa kanda hii kwani ni ya pili kwa Dar.
..angesambaza miradi kwa maeneo mengine ya kanda ya ziwa, badala ya kulundika miradi Chato.