BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
- Thread starter
- #41
Wewe una nini?MBA ya kupigia picha labda na sio ya reasoning.
Wewe una nini?MBA ya kupigia picha labda na sio ya reasoning.
Na reasoningWewe una nini?
Na reasoning
Mnapinga sera za majimbo Hali mnafanya maendeleo ya upendeleo chatonazationReasoning ya kupinga maendeleo siyo - BIZARRE
Hata katiba ya Mwalimu ndio imetuletea shida hizi.Mimi Sitaacha kumlaumu Mkapa mpaka pumzi yangu ya mwisho
Tumia vizuri akili yako kufikiria.
Pesa zinazojenga chato hazitoki mifukoni mwa Magufuli, ni za walipa Kodi wa Tanzania nzima.
Hiyo miradi iko wapi?Lakini hafanyi Chato peke yake tunaona miradi kila sehemu. Huku Arusha tuna miradi mingi sana inaendelea na Mikoa mingine pia. Hivyo waliotangulia wamefanya makubwa sana kwa Tanzania ila walikuwa na nafasi pia yakufanya na maeneo wanayotoka. Mimi sifurahii kabisa jinsi Musoma, Mkuranga, Masasi na Bagamoyo zilivyo. Hapa siongelei kabisa mawaziri naongelea Head of States
Ha ha haha......TAKUKURU waangalie hili la Rais kutumia fedha za nchi kwa upendeleo.
Kwa sababu rasilimali zilifutika nchi yote.Kwahiyo kwako wewe unafarijika sana kuona zilivyo
1. Musoma
2. Masasi
3. Bagamoyo
4. Mkuranga
Kwani Raisi ameendeleza chato? Yeye anaendeleza Tanzania, asilimia Kubwa ya nchi ukienda kuna miradi ya maendeleo, Tunatakiwa tutoa mawazo pale tunapoona kuna tatizo kama Kodi Kubwa na kodi nyingi kuimarisha sekta binafsi ili kuleta ajira na kuondoa umasikini.Nimeshawahi kusikia Watanzania wakiwalalamikia Marais waliopita kwamba hawakufanya mambo ya maana makwao kama Baba wa Taifa hakufanya mambo ya maana Musoma vivyo hivyo Mkapa hakufanya mambo ya maana Masasi...
Ingekuwa hovyo Kama ilivyoleo,Raisi kujijengea nyumba ya kifahari hakuna tija kwa uchumi wa nchi,Raisi Mkapa alinunua Ndege ya Raisi kwa mabilioni ya pesa,sasa hiyo Ndege imetupa faida gani?Kikwete alianzisha mchakato wa Katiba watu wakalipwa maposho manono,imetusaidia nini?Nimeshawahi kusikia Watanzania wakiwalalamikia Marais waliopita kwamba hawakufanya mambo ya maana makwao kama Baba wa Taifa hakufanya mambo ya maana Musoma vivyo hivyo Mkapa hakufanya mambo ya maana Masasi...
Wanajivunia kinga ya kutoshitakiwa.Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Pole sana
Kuna beach ya ziwa Victoria paleSawa, mwambie achimbe na mtaro toka bahari ya hindi - tunataka tujenge beach kali sehemu ya kupumzikia watalii pale Burigi
Kwani Rais Magufuli hajaendeleza maeneo mengine?angalia Dodoma, Dar, Arusha na mikoa mingine. Tuache kuitumia hoja ya Chato kisiasa kumchafua Rais wetu. Maendeleo ya Chato ni ya Taifa zima. Mlizoea kanda hii kunyanyaswa hamna Chuo kikuu cha Taifa, Uwanja wa Mpira wa Taifa, Uwanja wa ndege wa kimataifa licha ya mchango mkubwa wa GDP wa kanda hii kwani ni ya pili kwa Dar.Kama hayo yanayofanyika Chato yangefanyika huko,leo tusingekuwa na uwanja wa Mkapa pale DSM!
Nikuambie tu, hizo pesa hazitoki mifukoni mwao bali ni kwenye makusanyo ya kodi! Ina maana kama wangeangalia kwao kwanza, sehemu nyingine zingekosa huduma muhimu!
Mfano Mkapa angemwaga Trilion Moja Masasi kwa ajili ya manedeleo, ni barabara ngapi zisingejengwa? Hospitali ngapi zisingejengwa maeneo yenye uhitaji?
Unamjua Mobutu Seseko?