Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 448
- 752
Kama hayo yanayofanyika Chato yangefanyika huko,leo tusingekuwa na uwanja wa Mkapa pale DSM!..
Wamjulie wapi hao? Unapoteza muda wako kuwaelemisha hao ni bora bundle lako ufanyie kitu kingine cha maana kuliko kukomaa kuwaelimisha hao watu wakijani.