Namuunga mkono Rais Magufuli 100% kuendeleza Chato

Kwani Rais Magufuli hajaendeleza maeneo mengine?angalia Dodoma, Dar, Arusha na mikoa mingine. Tuache kuitumia hoja ya Chato kisiasa kumchafua Rais wetu. Maendeleo ya Chato ni ya Taifa zima. Mlizoea kanda hii kunyanyaswa hamna Chuo kikuu cha Taifa, Uwanja wa Mpira wa Taifa, Uwanja wa ndege wa kimataifa licha ya mchango mkubwa wa GDP wa kanda hii kwani ni ya pili kwa Dar.

..angesambaza miradi kwa maeneo mengine ya kanda ya ziwa, badala ya kulundika miradi Chato.
 
Nimeshawahi kusikia Watanzania wakiwalalamikia Marais waliopita kwamba hawakufanya mambo ya maana makwao kama Baba wa Taifa hakufanya mambo ya maana Musoma vivyo hivyo Mkapa hakufanya mambo ya maana Masasi.

Nami naungana nao kuwalaumu. Kikwete hakufanya mambo ya maana Bagamoyo na Mwinyi hakufanya mambo ya maana Mkuranga.

Hivyo basi naunga mkono yote anayofanya Magufuli kule Chato kwani miundombinu anayoitengeneza Chato ni kwa ajili ya Watanzania wote kama tukiingalia kama fursa.

Huwa najiuliza kama anayofanya Magufuli Chato yangefanywa na viongozi waliotangulia Musoma, Mkuranga, Masasi na Bagamoyo, Je leo Tanzania ingekuwa wapi?

Hivyo watu waache kukaa kwenye vijiwe na kuanza kumsema Rais kwa miundombinu inayofanyika Chato ila waichukulie kama fursa.
Nimeona taa za barabarani zikiongoza punda kule chattle.
 
Kama kweli unamuunga mkono sema tukakuchimbie kakaburi kadogo pembeni ya kaburi lake
 
Nimeshawahi kusikia Watanzania wakiwalalamikia Marais waliopita kwamba hawakufanya mambo ya maana makwao kama Baba wa Taifa hakufanya mambo ya maana Musoma vivyo hivyo Mkapa hakufanya mambo ya maana Masasi.

Nami naungana nao kuwalaumu. Kikwete hakufanya mambo ya maana Bagamoyo na Mwinyi hakufanya mambo ya maana Mkuranga.

Hivyo basi naunga mkono yote anayofanya Magufuli kule Chato kwani miundombinu anayoitengeneza Chato ni kwa ajili ya Watanzania wote kama tukiingalia kama fursa.

Huwa najiuliza kama anayofanya Magufuli Chato yangefanywa na viongozi waliotangulia Musoma, Mkuranga, Masasi na Bagamoyo, Je leo Tanzania ingekuwa wapi?

Hivyo watu waache kukaa kwenye vijiwe na kuanza kumsema Rais kwa miundombinu inayofanyika Chato ila waichukulie kama fursa.
You must be having a sick mind.
 
Na nyie mjenge makwenu muweke na miundombinu ya usafiri saaaafi, huduma za kijamii na nyumba za kutosha wenyeji na wageni maana ipo siku mtarushwa huko.

Na ni bahati wala sio ubaya na sio dhambi mtu akijiaaliwa kujiandalia mazingira safi ya kwenda kwenye makao yake ya kudumu?

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli
 
Usipojenga kwenu watakunanga
Ukijenga utanangwa
Dahh
Ubinadam kazi kweli

Ova
 
Nimeshawahi kusikia Watanzania wakiwalalamikia Marais waliopita kwamba hawakufanya mambo ya maana makwao kama Baba wa Taifa hakufanya mambo ya maana Musoma vivyo hivyo Mkapa hakufanya mambo ya maana Masasi.

Nami naungana nao kuwalaumu. Kikwete hakufanya mambo ya maana Bagamoyo na Mwinyi hakufanya mambo ya maana Mkuranga.

Hivyo basi naunga mkono yote anayofanya Magufuli kule Chato kwani miundombinu anayoitengeneza Chato ni kwa ajili ya Watanzania wote kama tukiingalia kama fursa.

Huwa najiuliza kama anayofanya Magufuli Chato yangefanywa na viongozi waliotangulia Musoma, Mkuranga, Masasi na Bagamoyo, Je leo Tanzania ingekuwa wapi?

Hivyo watu waache kukaa kwenye vijiwe na kuanza kumsema Rais kwa miundombinu inayofanyika Chato ila waichukulie kama fursa.
Pumbavu! muunge mkono Samia kuendeleza zenji!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom