Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,354
Ukilipa mahari ukweni unawapangia matumizi??simba siyo mali yake ni mali ya wanachama sasa kama unataka kufanya biashara au kumiliki sharti abide na wenye maliPesa haiwezi tolewa kama ubwabwa wa Rungwe kila mtu ajichotee.
Business principles zinataka iwepo management thabiti ku controll hiyo pesa.
Kusikia tu harufu ya 20b Kigwangala anataka kuzikopa, na wengine wapo pembeni kuzifaidi!
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app