Hivi mnafikiri zile match mlikuwa mnashinda burebure sio!?Dewji linapokuja swala la 20b anakuwa mkalis sana hapa ndio panapo leta mashaka
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hapo ndio unapo kosea mpira ni mchezo wa hadharani ..simba soka analipiga kweli kweliHivi mnafikiri zile match mlikuwa mnashinda burebure sio!?
Mtu kahonga TFF nzima mnaanza kuchonga..
Ngoja kwanza mpigwe na IHEFU akili ziwarudi.
MO hatufai mfukuzeni mlete muwekezaji mwingine.Ile issue ya.mo na Kigwangala haijaanza leo ilianza toka kipindi kile mo anatishia kujitoa simba aliposema anatumia pesa nyingi kuhudumia simba akamwuliza hizo pesa ni sehemu ya bilioni 20 au zake za mfukoni .
Kigwangala amehoji mambo ya msingi ila kwa ujinga walionao watu wengi wamemjadili zaidi yeye binafsi ikiwa pamoja na mo kukwepa mjadala na kuingiza personal issue.
Mo anapaswa kutoa majibu kwa wanasimba na sio kwenda kutoa majibu kwa wasafi fm ambao tunajua watangazaji wake wengi ni yanga wa kutupwa.
Kuna madudu mengi kuhusiana na uwekezaji wanmo ila madudu hayo hayaonekani kwa sababu ya mafanikio tunayoyapata uwanjani.
Ajatoa bilioni 20 kwa sababu mchakato haujakamilika lakini ameshakuwa na madaraka makubwa kabla mchakato haujakamilika.
Kuna bidhaa zake ambazo hazipo kwenye mkataba na simba lakini amekuwa akizitangaza kupitia simba mfano mo protector sasa ukiacha zile pikipiki zake sasa kama anamleta CEO ambaye ni msaidizi wake binafsi ataweza vp kutenganisha maslahi ya simba na ya kampuni anazoongoza mo.
Kuna kanga zilikuwa zinauzwa simba day hazijulikani nani ametengeneza na pesa zinaenda kwa nani ukichukulia na yeye anamiliki viwanda vya nguo.
Mpaka sasa simba haijaweza kujitegemea leo mo akitoka simba itasimama vipi pamoja na mishahara mikubwa ya wachezaji.
Tatizo si kuleta mwekezaji mpya bali afate makubaliano na taratibu kama mchakato wa kumpata senzo ulivyofanyikaMO hatufai mfukuzeni mlete muwekezaji mwingine.
Sasa muache kelele basi.Hapo ndio unapo kosea mpira ni mchezo wa hadharani ..simba soka analipiga kweli kweli
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Amapokeuka sindio anavunja mkataba sasa ,ndio hapo atimuliwe.Tatizo si kuleta mwekezaji mpya bali afate makubaliano na taratibu kama mchakato wa kumpata senzo ulivyofanyika
Hisa za MO na CCM wapi na wapi bwashee!!!Habari za asubuhi wakuu....ujue hawa waheshimiwa wanataka kutuona sisi kama watoto ila kwa kile nilichokiona nje ya mchezo ni sio hisa za mo kwa simba wala uwekezaji wake pale msimbazi bali tukae na kutambua kwamba hawa wote ni wana ccm na wanachokijalibu kukifanya hapa ni kututoa kwenye mawazo ya kampen maana wameshaona mgombea wao kila anakoenda anapigwa k.o kwahiyo wameona watuamishie upande wa pili ili kila mtu akili yake ikae upande huu na sio kwenye kampen tena ili waweke mambo yao sawa.
Hivyo tutumie akili kuwaza hii inaweza ikawa ni technical plan ya mataga baada ya kuona mkubwa havutii
Watanzania tufanye kazi kwa bidii.. huu ni Kama ugonjwa unatunyemelea.. mtu akijikwaa CCM hiyoo.. Mtu akipita na baiskeli anatoka shamba kajichokea.. CCM hiyo.. Mtu akifanikiwa akanunua kagari kake akipita utasiki tu MaCCM hayo..Yanga ikifungwa leo utasema ni sababu ya kampeni za siasa! Mkuu achana na siasa maana inaonekana imekuathiri sana. Kila kitu unahusisha na siasa...yaani hata chai hujanywa maana naamini uko Tz, ila umeamkia na ishu ya mo na kigwa na kuileta moja kwa moja kwenye siasa.
umekua mtumwa!
Sio kila kitu ukichukulie kisiasa mkuu, kuna maisha nje ya siasa lazima utambue ukweli huo.Habari za asubuhi wakuu....ujue hawa waheshimiwa wanataka kutuona sisi kama watoto ila kwa kile nilichokiona nje ya mchezo ni sio hisa za mo kwa simba wala uwekezaji wake pale msimbazi bali tukae na kutambua kwamba hawa wote ni wana ccm na wanachokijalibu kukifanya hapa ni kututoa kwenye mawazo ya kampen maana wameshaona mgombea wao kila anakoenda anapigwa k.o kwahiyo wameona watuamishie upande wa pili ili kila mtu akili yake ikae upande huu na sio kwenye kampen tena ili waweke mambo yao sawa.
Hivyo tutumie akili kuwaza hii inaweza ikawa ni technical plan ya mataga baada ya kuona mkubwa havutii
Shida ni 20bSasa muache kelele basi.
Shida yenu si ushindi. Na mpishi wa ushindi kapatikana nini tena mnataka mikia!?
Au mmeichoka amani.!?