MpatievKigwa mkopo wa pikipiki kama una uchungu naye?The problem with the world is that intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are the one who lead the intelligence....
1.MO anawaaminisha kuwa Senzo sio kitu ila huyu dada
2.20b hazijulikani zinatoka lini ila kaanza kutoa grants.
Pumbafu wewe! Mo alieleza bayana kuwa mchakato haujakamilika ili aweke hizo pesa, Sasa wewe unakomaa na billion 20 ukiwa Kama Nani? Tangu Mo aingie Simba huoni Mambo yalivyo mazuri?
Msiwe wajinga wa kibiashara .MO akitaka kubaki salama, aunde club yake na aendelee kuwa shabiki wa Simba.
Timu ya Simba ina mashabiki wengi wenye madaraka Serikalini.
Haingii akilini MO akiingia uwanjani akashangiliwa kuliko Rais ambaye naye ni shabiki wa Simba.
Mtawala huwa hapendi mwanainchi wa kawaida kuwa maarufu kuliko yeye.
MO akianza kupingana na Kigwangala mwisho wa Siku ataanza kupingana na Majaliwa na kumalizia na MH. Magufuli.
Rais Mstaafu Kikwete alisema, hatutaki club inayomilikiwa na mtu moja.
Michezo ni burudani na tunataka kushangilia kilicho chetu na si cha mtu.
Msahafu unasema .
"Ole wake mtu yule amuaminiane mwanadamu kama kinga yake, mbinguni amelaaniwa"
Club ya Simba sasa inamuamini MO kama kinga yao, mbinguni wamelaaniwa.
Je kesho Mo kama hayupo Duniani club ya Simba itakuwa na hali gani?
Let us think beyond one year.
Mwambieni Kigwangala naye awekeze 20b katika Simba, na aweke mtu wake ku manage hizo pesa.Mh kigwangala kwenye siasa huwa simuelewi kabisa,ila kwenye swala la simba ana point kubwa sana,CEO wa simba si swala la gender wala experience kwenye soka maana sio CEO wa kwanza kwenye soka je kwa nini awe na vinasaba na moja kati ya mtu anayetaka kuinunua club ya wanachama?
Simba siyo NGO binafsi ya mo ni taasisi ya kubwa ya mamilioni ya watu ambayo ina hama kwenda kwenye corporate entinty nafasi kama ya ceo ambaye ni mtendaji mkuu wa wa club lazima itangazwe kwa absolute transparent,maana interest ya mamilioni ya watu relay to her hatutaki mtu biased hasa tunaopoelekea kwenyw mchakato wa mabadiliko.
Our future must be secured,siyo kwa sababu tunapata matokeo basi mambo ya fanyike kienyeji tu bila weledi mkubwa,swala la kukopa kwa kila mpambanaji ni kawaida tu asa longer ana lipa kwa wakati!!
N:b ya jayo yana furahisha,tuendele kupata matokeo la sivyo aaaah,mo kwenyw 20b anakuwaga mwamedi
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Nashukuru kwa tusi lako ila simba siyo mali ya familia ya dewji ni swala la muda tu kabla haingia kumi 18 za watu hatapona kama ataleta janja janja simba inabeba maslahi makubw ya watuPumbafu wewe! Mo alieleza bayana kuwa mchakato haujakamilika ili aweke hizo pesa, Sasa wewe unakomaa na billion 20 ukiwa Kama Nani? Tangu Mo aingie Simba huoni Mambo yalivyo mazuri?
Sidhani Kama wewe Ni mwanasimba halisi, Kama wewe Ni mwanasimba halisi na unaenjoy Mpira wa simba basi ujue Ni pesa za Mo, akitoka tu njaa inarudi hao akina Chama hutowaona Tena.
Acheni ujinga, mwacheni Mo hata akichukua team kikubwa tunataka burudani sisi, hizo billion 20 zikiwekwa ndo mafarakano yataanzia hapo.
Tunataka uwazi simba ni mali ya wanachama siyo mo chungwa ile .......weka pesa tukupe teamMwambieni Kigwangala naye awekeze 20b katika Simba, na aweke mtu wake ku manage hizo pesa.
Kasikia kuna 20b tu , anataka kuzikopa!
Waswahili tuna shiiida!
Mpumbavu Ni sifa yako Wala sijakutusi, unakomaa billion 20 Kama vile wewe una mchango wowote kwenye Simba Zaidi ya kupotosha tu, utopolo fc nyamaza!Nashukuru kwa tusi lako ila simba siyo mali ya familia ya dewji ni swala la muda tu kabla haingia kumi 18 za watu hatapona kama ataleta janja janja simba inabeba maslahi makubw ya watu
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Tunataka uwazi simba ni mali ya wanachama siyo mo chungwa ile .......weka pesa tukupe team
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Pesa haiwezi tolewa kama ubwabwa wa Rungwe kila mtu ajichotee.Tunataka uwazi simba ni mali ya wanachama siyo mo chungwa ile .......weka pesa tukupe team
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Na yeye ndo aliyoahidi kutoa billion 20Dewji linapokuja swala la 20b anakuwa mkalis sana hapa ndio panapo leta mashaka
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Huyu Mwamedi bado hajaweka B20 mezani lakini kashaanza kuitumia club yetu anavyotaka yeye. Mimi binafsi ile siku alivyogeuza shughuli ya simba kuwa jukwaa la siasa aliniudhi sana.
Ujue siasa ni stress, watu tumekimbia stress tumekuja kwenye mpira kufurahi, then wewe unatuletea stress za siasa tena.
Hili la CEO ndio limeniacha hoi maana member mwenzetu Shark alishatuletea nyepesi kuhusu huyo CEO tangu mwezi uliopita.





Yeye ndo aliyoahidi kutoa ahadi billion 20Pesa haiwezi tolewa kama ubwabwa wa Rungwe kila mtu ajichotee.
Business principles zinataka iwepo management thabiti ku controll hiyo pesa.
Kusikia tu harufu ya 20b Kigwangala anataka kuzikopa, na wengine wapo pembeni kuzifaidi!