Namuunga mkono Kigwangalla dhidi ya MO Dewji

Kigwa ana point sema mashabiki wa mbumbu Mo aondoke Simba ..... Simba itaendeshwa na wanachama kama alivyoikuta na haitakufa....
Aden Rage aliwahi kusema washabiki wa simba ni mbumbu
 
Mh. Kigwangala kwenye siasa huwa simuelewi kabisa ila kwenye suala la Simba ana point kubwa sana, CEO wa simba si suala la gender wala experience kwenye soka maana sio CEO wa kwanza kwenye soka. Je, kwa nini awe na vinasaba na moja kati ya mtu anayetaka kuinunua club ya wanachama?

Simba siyo NGO binafsi ya Mo ni taasisi ya kubwa ya mamilioni ya watu ambayo inahama kwenda kwenye corporate entinty nafasi kama ya CEO ambaye ni mtendaji mkuu wa club lazima itangazwe kwa absolute transparent maana interest ya mamilioni ya watu relay to her hatutaki mtu biased hasa tunaopoelekea kwenye mchakato wa mabadiliko.

Our future must be secured, siyo kwa sababu tunapata matokeo basi mambo yafanyike kienyeji tu bila weledi mkubwa, suala la kukopa kwa kila mpambanaji ni kawaida tu as longer analipa kwa wakati!!

NB: Yajayo yanafurahisha, tuendele kupata matokeo lasivyo aaaah, Mo kwenye 20b anakuwaga Mwamedi.

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app

Mimi ninaona 'points' nzuri huwa anakuwa nazo pale tu labda unapokuwa nae 'Faragha' huku mkiwa 'mnaburudika' zenu 'Kibaiolojia' zaidi tu Mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hivi siyo kwamba kigwangala katumwa ili migogoro isiyoisha ianze pale clabuni? Hivi tunaweza kumpa timu akaiendesha hata kwa miezi miwili? Hata kama hiyo 20b haijaletwa na timu inahudumiwa ipasavyo hawezi shauri uongozi kwa kutumia njia sahihi badala ya kushutumu mitandaoni.? Haoni maadui zetu watatumia mwanya huo kam point of weakness kuivuruga simba? Hamisi tafadhari kama una migogoro yako binafsi na Mo, hacha kuitumia kuivuruga simba. Otherwise tutakukabili vikari..8
 
118780345_662063684405026_4723369165100277551_n.jpg

UTOTO HUU #VIRUS
 
Pumbafu wewe! Mo alieleza bayana kuwa mchakato haujakamilika ili aweke hizo pesa, Sasa wewe unakomaa na billion 20 ukiwa Kama Nani? Tangu Mo aingie Simba huoni Mambo yalivyo mazuri?

Sidhani Kama wewe Ni mwanasimba halisi, Kama wewe Ni mwanasimba halisi na unaenjoy Mpira wa simba basi ujue Ni pesa za Mo, akitoka tu njaa inarudi hao akina Chama hutowaona Tena.

Acheni ujinga, mwacheni Mo hata akichukua team kikubwa tunataka burudani sisi, hizo billion 20 zikiwekwa ndo mafarakano yataanzia hapo.
NUKTA
 
Mh. Kigwangala kwenye siasa huwa simuelewi kabisa ila kwenye suala la Simba ana point kubwa sana, CEO wa simba si suala la gender wala experience kwenye soka maana sio CEO wa kwanza kwenye soka. Je, kwa nini awe na vinasaba na moja kati ya mtu anayetaka kuinunua club ya wanachama?

Simba siyo NGO binafsi ya Mo ni taasisi ya kubwa ya mamilioni ya watu ambayo inahama kwenda kwenye corporate entinty nafasi kama ya CEO ambaye ni mtendaji mkuu wa club lazima itangazwe kwa absolute transparent maana interest ya mamilioni ya watu relay to her hatutaki mtu biased hasa tunaopoelekea kwenye mchakato wa mabadiliko.

Our future must be secured, siyo kwa sababu tunapata matokeo basi mambo yafanyike kienyeji tu bila weledi mkubwa, suala la kukopa kwa kila mpambanaji ni kawaida tu as longer analipa kwa wakati!!

NB: Yajayo yanafurahisha, tuendele kupata matokeo lasivyo aaaah, Mo kwenye 20b anakuwaga Mwamedi.

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Mo analinda mtaji wake kwa kuweka mtu wake sasa wewe unaeongea umeweka kiasi gani ?
 
Simba si Mali ya wanachama.
Ni Mali ya wanahisa. Au hujui katiba imebadilika?.

Simba Ina wanahisa, viongozi (wanaolipwa) na mashabiki.

Hizo hela za Moh hata akitoa ww hunufaiki na chochote kwa mfumo wa Hela Bali washabiki wananufaika na matokeo mazur na mpira mzuri.

Wananufaika wenye Hisa wenzake tu.
Maana mwisho wa mwaka vikao vitakaa kuona
Gharama za uendeshaji - Mapato = Faida.

Then Faida wanagaiwa wenye hisa.

Ndio ilivyo sasa kikatiba.

Mo anatoa Bill 5.5 kila mwaka kutoka budget ya Bill 1.5 hapo awali.

Je hizi Bill 5.5 zinazoingia kwenye budget sio part ya hizo Bill 20 anazotakiwa alipie Hisa?.
Au kwann anatoa hizi wakati kisheria alitakiwa atoe Bill 20, then akae aaangalie zinavyozunguka na kutoa faida.

Ukishatafakari haya.
Jiulize kazi ya CEO ni nini kwenye kampuni yoyote.

Tukirud kwa Hamisi,
Kwann hili limeibuka Leo na sio wakati wa Senzo?. Je angechaguliwa CEO mwingine ambaye hafahamiki na Mo , Hamisi angekuwa bado na shida na kuhoji Bill 20?.

Kama asingekuwa na shida basi ni chuki binafsi anazo na Moh kuona Moh amempa mtu anaemjua kazi ya CEO.

Na bado Hamisi hajui Simba kampun inavyoendeshwa.
Maana kazi ya CEO ni kuletea kampuni yoyote Faida.

Sasa utampaje mtu ambaye hujui utendaji kazi wake ili atengeneze Faida.

Senzo hakubuni miradi mingine ya kuketea Kampuni faida.
Tunapoongea mambo ya hisa ushabiki tuweke pembeni.
Ni muda gani toka Mo atangazwe kuwa amepewa hisa 49 na nini kinachofanya mchakato mpaka sasa usikamilike.
Hizo bilioni 20 alitakiwe azilipe ili ziweke kwenye fixed account lakini mpaka sasa hajalipa kwa akili ya biashara ziko kwenye fixed account yake anachotoa ni sehemu ya faida anayotaka.
Wasichojua wanasimba wengi mo akiamua kujitoa leo Simba wataparaganyika kwani hawatakuwa na uwezo wa kulipa mishahara ya wachezaji na gharama nyingine badala yake watatoka watu na kutudhalilisha wana Simba wote kumlamba miguu.
Mo aache ujanja aweke mzigo kama makubaliano yalivyotakiwa.
 
Mwanasimba asipoelewa hapa asubiri malaika wamueleweshe
 
Unadhani mzinga wake wa bodaboda Ungematerialize bado angeulizia hio 20b ?Kigwangala hajaongea kwa mapenzi yake ya simba ila anatumia hio 20b plus his influence kukomoana na uyo mwekezaji mjanjamjanja wa simba
 
Ni kweli anahoja lakini kanuni zinatanabaisha wazi kuwa timu inaweza kuwa na wawekezaji zaidi ya mmoja,aende akawekeze Simba tena amzidi MO ili awe na sauti tumechoka mipasho ya wabongo! 51% zenyewe za wanachama zinachechemea bado mtu anataka 20b ziwekwe hata nikiwa ndo MO sitoi ng'oo
 
Tunapoongea mambo ya hisa ushabiki tuweke pembeni.
Ni muda gani toka Mo atangazwe kuwa amepewa hisa 49 na nini kinachofanya mchakato mpaka sasa usikamilike.
Hizo bilioni 20 alitakiwe azilipe ili ziweke kwenye fixed account lakini mpaka sasa hajalipa kwa akili ya biashara ziko kwenye fixed account yake anachotoa ni sehemu ya faida anayotaka.
Wasichojua wanasimba wengi mo akiamua kujitoa leo Simba wataparaganyika kwani hawatakuwa na uwezo wa kulipa mishahara ya wachezaji na gharama nyingine badala yake watatoka watu na kutudhalilisha wana Simba wote kumlamba miguu.
Mo aache ujanja aweke mzigo kama makubaliano yalivyotakiwa.
Asante sana ndio hofu ya wanasimba wanao jielewa club yetu future yake ikoje??.kama tajiri akiamka asubuhi kanunua team itakuwa kwenyw hali gani
 
Ni kweli anahoja lakini kanuni zinatanabaisha wazi kuwa timu inaweza kuwa na wawekezaji zaidi ya mmoja,aende akawekeze Simba tena amzidi MO ili awe na sauti tumechoka mipasho ya wabongo! 51% zenyewe za wanachama zinachechemea bado mtu anataka 20b ziwekwe hata nikiwa ndo MO sitoi ng'oo
Time will tell wenyw mamlaka hawatamuacha salama analiwa timing tu akijichanganya anakuwa kama Aveva na kaburu hizi club ni taasisi kubwa san kuliko unavyofikiria
 
Mh hamisi ni shabiki na mwanachama lialia wa simba ana haki ya kuhoji maendeleo ya club yake swala la ugomvi binafsi mo amekosa weledi kukopa siyo dhambi hajaomba msaada

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Huyu mwamedi hajui kujibu hoja masuala ya kumkopesha pikipiki yalikuwa hayahusu kabisa angejikita kwenye hoja ya msingi aliyoileta Mh Kigwangala mbona angeonekana mtu mwenye hekima na busara.
Kwa kuingiza hoja ya kumkopesha pikipiki ameonesha jinsi alivyopaniki na jinsi alivyo mweupe katika kujibu hoja.
 
Back
Top Bottom