dah! kuna watu huwa wanachukulia mambo kirahisi sana yaani mo ndio aweke 20b halafu simba ijiendeshe yenyewe au mfano wewe ulie andika upuuzi huu ndio akuachie uindeshe unaijua hiyo pesha aliipataje kwanini usiweke wewe kama ni rahisi hivyoUkiona nyuki wamekuwa wakali ujue kuna asali.
Mo akisikia mtu anazungumzia 20bil. Mkali baraa, nakumbuka aliwahi kuhojiwa na wasafi tv kuhusu hizo 20bl. Aliishia kujibu mimi niwakukoswa 20 bl.? Hakika halikuwa jibu! Dr kigwa anahaki yakuhoji maana anajua kila kitu,
Mi najua mo atakuwa kamuweka huyo dada ili aanze kuongeza zero zero kwenye matumizi mpaka 20bl ziishe, itakuwa senzo alimkatalia labda.
Anatakiwa aweke hizo 20bl. Ilisimba ijiendeshe badala yakumtegemea yy.