Post gan hii sasa, yan katika speech yake ulichoona ni hiki tu?
Jamaa amekunyima buku 7 hivihivi
Post gan hii sasa, yan katika speech yake ulichoona ni hiki tu?
Teh teh teh naona unataka kurudi chadema,toka bhana bado unanuka...Post gan hii sasa, yan katika speech yake ulichoona ni hiki tu?
Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema aliyetimuliwa hivi karibuni Dr Kitila Mkumbo amemuonya vikali Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba kwamba akae mbali na yeye.
Dr Kitila amedai kushangazwa na machozi ya mamba ya Mwigulu ambaye kwa unafiki mkubwa eti amemsikitikia kwa yaliyomfika.
Dr Kitila amesema siku zote Mwigulu Nchemba amekuwa akimchafua lakini tangu atimuliwe uongozi Chadema Mwigulu amejifanya kumsifu sana na kumhurumia.
Dr Kitila amemuonya Mwigulu kwamba inyeshe mvua au liwake jua ni lazima atamvaa katika uchaguzi wa Ubunge jimbo la Iramba Magharibi ama kupitia Chadema au kwa njia nyingine yoyote.
Dr Kitila amemtaka Mwigulu kutambua kwamba yeye bado ni mwanachama wa Chadema.
Ulitaka ahame na bahari nzima?Katika bahari unaondoka na kikombe kimoja tu cha maji?
Sixgate anatia huruma kweli hakutegemea kilichotokea njaa itamfanya alime lami,bado ananuka akae ukouko...Bado nakufuatilia kwa karibu kiongozi wangu, vipi? nini kimekusibu? mbona posti zako zimebadilika sana tokea ule mkutano wa asubuhi, post zako zimekuwa za kinyonge kama mtu aliyekosa matumaini! Bado una nafasi kiongozi, fuata njia aliyoichukua Kiongozi wako kitila mkumbo, na wewe una chansi ya kuomba msamaha, nina uhakika utasamehewa tu, jirudi kiongozi, bado tunakupenda, rudisha moyo.
Kitila ni muungwana.
Alikiri makosa na kuomba msamaha kwenye CC ya chadema. Nina hakika pia ataomba msamaha katika maelezo yake ya utetezi atakayowasilisha mbele ya CC.
Tamko la Kitila limejaa uungwana. Ni mtu aliyetambua makosa yake na sasa anatubu. Nashauri huyu asamehewe ila abaki kuwa mwanachama tu.
Zitto pia atafanya vivyo hivyo.
Tatizo la zitto ni unafiki, yaani huku uraiani hataki kuonekana amekosa. Akienda huko kwenye vikao anaomba msamaha. Ni mnafiki wa kutupwa.
Alichokifanya leo ni kujitungia tuhuma nyingine tofauti na zile alizopewa kwenye CC. Halafu akaanza kuzijibu mwenyewe ili aonekane hana makosa.
Tamko la Zitto bado limekaa kishari shari na unafiki mwingi.
Nashauri huyu aondolewa tu kwani mtu wa namna hii ni hatari sana.
"Shetani"alirubuni viongozi watatu wa Chadema wakaasi mamlaka na kupanga hujuma.Mamlaka ikaamua waadhibiwe kwa kutupwa kwenye "jehanamu"ya dunia ili kama wanataka kwenda kuishi na "shetani" (ccm) wawe huru ila nafasi ya kutubu ikatolewa. Leo viongozi hao wakaitisha press conference kusema yaliyo moyoni.Mwigulu Nchemba hebu acha unafiki kidogo tu hadi mwaka uishe, then mwaka mpya anza upya unafiki wako kisomi zaidi na kiuchumi zaidi
Pole yenu mmetapikwa kama nyongo...Dr.Slaa na Mbowe wawaombe msamaha hawa wasomi; mambo yaishe.
Mudhabidhabina baina dhalikaMjumbe wa Kamati Kuu Chadema aliyetimuliwa hivi karibuni Dr Kitila Mkumbo amemuonya vikali Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba kwamba akae mbali na yeye.
Dr Kitila amedai kushangazwa na machozi ya mamba ya Mwigulu ambaye kwa unafiki mkubwa eti amemsikitikia kwa yaliyomfika.
Dr Kitila amesema siku zote Mwigulu Nchemba amekuwa akimchafua lakini tangu atimuliwe uongozi Chadema Mwigulu amejifanya kumsifu sana na kumhurumia.
Dr Kitila amemuonya Mwigulu kwamba inyeshe mvua au liwake jua ni lazima atamvaa katika uchaguzi wa Ubunge jimbo la Iramba Magharibi ama kupitia Chadema au kwa njia nyingine yoyote.
Dr Kitila amemtaka Mwigulu kutambua kwamba yeye bado ni mwanachama wa Chadema.
Wote ni ndugu zangu kitila na mchemba lkn kwa sasa ni mwigulu tuu kuhusu iramba, kitila pamoja na Elimu yako hujawaonyesha wana iramba utawafanyia nn na chadema yako.
Post gan hii sasa, yan katika speech yake ulichoona ni hiki tu?
Post gan hii sasa, yan katika speech yake ulichoona ni hiki tu?
Na Kitila anayesema kwa kumvua vyeo kamati kuu imekiuka katiba huoni kama amejaa kibri? Yeye ndiye anayeifahamu katiba ya chama kuliko wajumbe wote wa kamati kuu? Hawa watu wasaidiwe kuelekea huko kwenye demokrasia wanayoitaka.Kitila ni muungwana.
Alikiri makosa na kuomba msamaha kwenye CC ya chadema. Nina hakika pia ataomba msamaha katika maelezo yake ya utetezi atakayowasilisha mbele ya CC.
Tamko la Kitila limejaa uungwana. Ni mtu aliyetambua makosa yake na sasa anatubu. Nashauri huyu asamehewe ila abaki kuwa mwanachama tu.
Zitto pia atafanya vivyo hivyo.
Tatizo la zitto ni unafiki, yaani huku uraiani hataki kuonekana amekosa. Akienda huko kwenye vikao anaomba msamaha. Ni mnafiki wa kutupwa.
Alichokifanya leo ni kujitungia tuhuma nyingine tofauti na zile alizopewa kwenye CC. Halafu akaanza kuzijibu mwenyewe ili aonekane hana makosa.
Tamko la Zitto bado limekaa kishari shari na unafiki mwingi.
Nashauri huyu aondolewa tu kwani mtu wa namna hii ni hatari sana.
shetani wa kijani kapigwa mapigo 7 ya aibu kuu na ukweli ni kuwa cdm itavuka ktk mapito haya na kuwa amara mara mbili ya sasa...manyang'au miccm imefeli kabla hakujapambazuka ...say no to global wildlife dentists poarchers..."shetani"alirubuni viongozi watatu wa chadema wakaasi mamlaka na kupanga hujuma.mamlaka ikaamua waadhibiwe kwa kutupwa kwenye "jehanamu"ya dunia ili kama wanataka kwenda kuishi na "shetani" (ccm) wawe huru ila nafasi ya kutubu ikatolewa. Leo viongozi hao wakaitisha press conference kusema yaliyo moyoni.
"shetani" kwa kudhani viongozi hao watakamilisha kazi yake aliyowatuma ya kuiharibu chadema kwa kuitusi na kusema maneno ya kugonganisha watu akahakikisha press hiyo inarushwa hewani ili watu wote wasikie na mkakati wake ufaulu.
Bila kujua kuwa wokovu umewashukia viongozi hao wawili na wamejitambua walilotenda na maumivu waliyowa watu waliokuwa wanawapenda, "shetani" akaaibishwa baada ya hao viongozi kusema hawaondoki chadema na kuwa kujikwaa sio kuanguka.
Sasa nawashauri kamati kuu kupokea utetezi wao na kama utakuwa katika hali ya unyenyekevu kama tulioona leo basi wasifukuzwe chamani ila wapewe onyo kali kama taratibu zilivyo. Nafasi ya kurudi uongozini ipo tuu mradi matendo yao yatadhihirika kuwa yako sawa.
Kiukweli ni kuwa "shetani" ameaibika kwa mpango wake wa muda mrefu kubomolewa bila kutegemea.