msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,066
- 1,143
Kuna jambo linaendelea hapa ambalo bado wengi hatujalitambua. Yote tanayotokea CDM ikiwa ni pamoja na kuvuliwa vyeo Bwana ZZK na Dr Mkumbo,bado picha haijasomeka. Kuna "conspiracy theory" ambayo it will take time for us to learn it. Haiwezekani Kitilya aseme "inyeshe mvua au liwake jua ni lazima atamvaa katika uchaguzi wa Ubunge jimbo la Iramba Magharibi ama kupitia Chadema au kwa njia nyingine yoyote". That means kuna political game inayoendelea ndani ya CDM!
Ni mtazamo tu.
Ni mtazamo tu.