Namuonya Mwigulu Nchemba - Kitila Mkumbo

Namuonya Mwigulu Nchemba - Kitila Mkumbo

mwigulu gaidi tu huyo hana lolote kalipua bomu arusha alilotoka nalo china siku zake zinahesabika
 
Nikulizwa ni Mbunge gani humpendi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania-Jibu ni Mwigulu Nchemba

Nikiulizwa Mwanasiasa gani humpendi Afrika Mashariki jibu ni Mwigulu Nchemba

Nikiulizwa kiongozi gani wa Chama chochote cha siasa hapa Tanzania humpendi Jibu ni Mwigulu Nchemba!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

duuuuh,,,,,,,hope anakusoma
 
Narudia tena kusema "Maudhui ya waraka yalikuwa sahihi japo uliwasilishwa kwa matusi na dharau sana kwa mwenyekiti wenu ambaye ana shule ya kuungaunga"!Zito huna kosa,huna cha kuomba msamaha!Naona hili linataka kupita,hongereni lakini haitakuwa rahisi!
 
Nguvu za giza huwa hazidumu Mwigulu na timu yake wameumbuka,hata wale watetezi wa humu wanachungulia na kusepa.
 
Nimeshangazwa sana na Kitila kwamba ndiye aliyeandika masengenyo yale.nilichomshangaa zaidi ni kutokujua kuwa yote hayo aliyokuwa anafanya yalikuwa na mkono wa CCM kupitia kwa Mwigulu.Ni ajabu kuwa pamoja na weledi wake ameshindwa kubaini hilo na kushangaa kusifiwa na Mwigulu!
Yah mwigulu kampa kazi zitto,zitto kamtuma secretary wake kitila kuandaa waraka,mwigamba akafanya publicity
 
Narudia tena kusema "Maudhui ya waraka yalikuwa sahihi japo uliwasilishwa kwa matusi na dharau sana kwa mwenyekiti wenu ambaye ana shule ya kuungaunga"!Zito huna kosa,huna cha kuomba msamaha!Naona hili linataka kupita,hongereni lakini haitakuwa rahisi!

Kwa hiyo kwako matusi na dharau ni "sahihi"!
 
Zitto na Kitila wameidhalilisha Ccm vibaya sana, vijana wao na vizabina wengine wa ccm walijiandaa sana na hoja za udini na ukabila wamejikuta wanashindwa waseme nini, walidhani huu ni mwisho wa Chadema wakaja na nguvu kubwa na maneno mengi ya kejeli na wamebaki wanajiuliza maswali mengi yasiyo na majibu
 
Mwigulu Nchemba, CDM hawalali juu yako, BAVICHA hakukaliki juu yako wewe, CDM wanafukuzana juu yako wewe. Mkuu umefanyia nini hawa watoto??

Haya CDM wote 'Temeni mate' tumchape Mwigulu Jembe lenu!!
 
Hili nalo ni neno, wakati wakihitimisha mkutano wao na waandishi wa habari, aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Dr. Kitila Mkumbo alisema......"kule iramba ninakotoka, kuna mwananchi mmoja anaitwa Mwigulu Nchemba, amekuwa kila siku ananiponda katika kila jambo, nashanga eti sasa hivi ajidai kuwa ana upendo kwangu.....kimbelembele hiki kinatoka wapi......sasa either kupitia CHADEMA au chama kingine chochote, mimi na wewe kwenye ubunge 2015 Iramba" ............haya sasa kaka Mwigulu, kumbe bado ngoma mbichi...........endelea kujipanga na unafiki wako!
 
wasaliti wameshindwa CHADEMA wakashindwe na jimboni ushindi wao hauna tija heri mwingu anajulikana ni adui kuliko wanafiki ni wabaya wakafie mbali kimkakati na kisiasa
 
Ni kweli lakini KM atagombea kupitia chauma!
 
Mimi naweza kuwaita ZK na mwenzake KM wajinga. Wametumia taarifa zao kuonyesha kiburi na dharau. Hakika hazitaweza kuwasaidia. Kama huamini subiri utaona kitakachowakuta!
 
wasaliti wameshindwa CHADEMA wakashindwe na jimboni ushindi wao hauna tija heri mwingu anajulikana ni adui kuliko wanafiki ni wabaya wakafie mbali kimkakati na kisiasa

Mkuu ebu samehe kidogo! msiwe na hasira hivyo!
 
Hili nalo ni neno, wakati wakihitimisha mkutano wao na waandishi wa habari, aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Dr. Kitila Mkumbo alisema......"kule iramba ninakotoka, kuna mwananchi mmoja anaitwa Mwigulu Nchemba, amekuwa kila siku ananiponda katika kila jambo, nashanga eti sasa hivi ajidai kuwa ana upendo kwangu.....kimbelembele hiki kinatoka wapi......sasa either kupitia CHADEMA au chama kingine chochote, mimi na wewe kwenye ubunge 2015 Iramba" ............haya sasa kaka Mwigulu, kumbe bado ngoma mbichi...........endelea kujipanga na unafiki wako!
Kitila anapaswa kujua kuwa ubavu wa kumvimbia Nchemba anaupata ndani ya CDM. Kama anawaza tofauti, aende huko anakodhani kuna ushindani aone.
 
Kitila anapaswa kujua kuwa ubavu wa kumvimbia Nchemba anaupata ndani ya CDM. Kama anawaza tofauti, aende huko anakodhani kuna ushindani aone.

Umenena vema mkuu, kitila Mkumbo ni mtu makini sana, na siasa zake zilikuwa perfect, laiti asingekuwa na hii kashfa na kwa kupitia CHADEMA angemshinda Savimbi.....lakini wacha tujiulize, kama amekiri usaliti na kuomba msamaha.....hamna jinsi kamati kuu ikajiridhisha naye na kuendelea na uanacham wake? sizungumzii yeye kurudishwa ndani ya kamati kuu na wala sizungumzii msamaha kwa ZZK........! yaani hii yote ni jinsi gani nisivyopenda siasa za ndugu SAVIMBI, siasa za chuki, ushirikina na uadui uliokithiri........naamini Dr. Kitila alishaanza kueleweka kidogo na wana Iramba kuliko aje mtu mwingine ambaye SAVIMBI atajitwalia jimbo kilaini kabisa
 
Back
Top Bottom