Tls imekuwa ishu ya kisiasa sana na sasa imekuwa sehemu ya chademaUkitaka kuwa miongoni mwa watanzania wenye nia halisi ya kuikomboa nchi yetu kutoka makucha ya ukoloni uchwara na ufisadi wa haki za raia kisiasa kiuchumi na kijamii...Toroka uje leo!
Just immagine.....Going to court in an attempt to bar the elections of TLS was an act of utter insanity!!...Why?...What for?/...To what end??...On whose benefit?
View attachment 486704
....HATA WALIOLAZWA MILEMBE HUWAAMBIA DKT WAO HIVYO!Nisawa na kuruka mkojo ukakanyaga mafi nibora uachane na vyama vyote
Nape si mwanaCCM tena (amekuwa) almost four years ago, kipindi kile cha CCJ na CCK. RIP Mzee Sitta.
Hata ndani ya CCM ilijulikana hivyo ila busara na hekima za Kikwete zilimbakisha chamani. By then alikuwa ndio mmojawapo wa vijana waliokuwa wanategemewa sana ndani ya chama.
Wakati si milele, enzi ya Kikwete ikapita Salama. Uchapakazi wa Nape kama Katibu mwenezi Kitengo cha propaganda unaonekana wazi, akalipwa fadhila ya ubunge na hatimaye uwaziri.
Huyu ni Nape katika ulimwengu wa siasa za chama tawala! Lakini Kiuhalisia na kutoka rohoni mwake kama ikitokea nafasi nyingine huru Nape Nnauye is no longer CCM. Na kwa taarifa yako hayuko peke yake. Mwigulu, Makamba Jr, Kigwangala (wenye tuhuma za kughushi majina), Bashe na vijana wengi ndani ya CCM hawako happy na utawala wa sasa.
Kuna kitu hawakubaliani nacho asilani hata kama hawaongei kwa sauti kwa kuhofia kutumbuliwa, lakini iko hivi "Hawapendezwi na SPECIAL CARE anayopewa RC wa Dar mwenye tuhuma nyingi ikiwemo za kupora mali Kisha kusingizia madawa, kughushi cheti na matumizi mabaya ya madaraka.
Wanajiuliza kwani yeye ni nani hadi abwebwe na mbeleko kubwa kiasi hiki wakati wao ndio walifanikisha kwa sehemu kubwa mkulu Bob kuwa madarakani? Kama ni ishu ya Ben mbona hata wao wangeweza kuifanya? Wanajiuliza What is so special wit dis guy kwa mkulu?
Kwahiyo inapotokea nafasi kama hii ya kuongea, hawa waliotengwa wanajaribu kuonyesha hisia zao japo kwa woga mkubwa. Between they have already a plan B or I can say back up If ever things fall apart...
.
Just thinking aloud... But namuona Nape Nnauye and the rest kwenye gwanda ......!!!!the soonest....!!!!!!!!!!!
.....Nape si mwanaCCM tena (amekuwa) almost four years ago, kipindi kile cha CCJ na CCK. RIP Mzee Sitta.

Hahahaaa....HATA WALIOLAZWA MILEMBE HUWAAMBIA DKT WAO HIVYO!
Mkuu hiyo Nahau gani tena ?
Omarion oyeeeeeHayo uliyoyaandika juu ya Mh. Makonda nani ametuonyesha ni kweli yametokea au kufanyika kuanzia vyeti, majina etc
Why baada ya kuanza vita ya madawa ndio yaibuke?
Hao wengine sababu hakuna pesa na masafari ya ovyo kama kabla, maisha yamebadilika walikuwepo before walikuwa na mazoea ambayo now hawana. Hakuna lingine, inawabidi ili waendelee kutengeneza CV zao. Na wanapenda kuwa ni viongozi na wakae wazoeee wanune watajiju.
Makonda oyeeee
DC KorogweNape si mwanaCCM tena (amekuwa) almost four years ago, kipindi kile cha CCJ na CCK. RIP Mzee Sitta.
Hata ndani ya CCM ilijulikana hivyo ila busara na hekima za Kikwete zilimbakisha chamani. By then alikuwa ndio mmojawapo wa vijana waliokuwa wanategemewa sana ndani ya chama.
Wakati si milele, enzi ya Kikwete ikapita Salama. Uchapakazi wa Nape kama Katibu mwenezi Kitengo cha propaganda unaonekana wazi, akalipwa fadhila ya ubunge na hatimaye uwaziri.
Huyu ni Nape katika ulimwengu wa siasa za chama tawala! Lakini Kiuhalisia na kutoka rohoni mwake kama ikitokea nafasi nyingine huru Nape Nnauye is no longer CCM. Na kwa taarifa yako hayuko peke yake. Mwigulu, Makamba Jr, Kigwangala (wenye tuhuma za kughushi majina), Bashe na vijana wengi ndani ya CCM hawako happy na utawala wa sasa.
Kuna kitu hawakubaliani nacho asilani hata kama hawaongei kwa sauti kwa kuhofia kutumbuliwa, lakini iko hivi "Hawapendezwi na SPECIAL CARE anayopewa RC wa Dar mwenye tuhuma nyingi ikiwemo za kupora mali Kisha kusingizia madawa, kughushi cheti na matumizi mabaya ya madaraka.
Wanajiuliza kwani yeye ni nani hadi abwebwe na mbeleko kubwa kiasi hiki wakati wao ndio walifanikisha kwa sehemu kubwa mkulu Bob kuwa madarakani? Kama ni ishu ya Ben mbona hata wao wangeweza kuifanya? Wanajiuliza What is so special wit dis guy kwa mkulu?
Kwahiyo inapotokea nafasi kama hii ya kuongea, hawa waliotengwa wanajaribu kuonyesha hisia zao japo kwa woga mkubwa. Between they have already a plan B or I can say back up If ever things fall apart...
.
Just thinking aloud... But namuona Nape Nnauye and the rest kwenye gwanda ......!!!!the soonest....!!!!!!!!!!!
Leo tena makamanda mnamtukana kwa nn kaomba msahama! Vinye.....o vyenunaihifadhi
Utabiri umetimia!Nape pole sana natamani utabiri wangu huu utimie haraka wakati hakujachwa, wakati jua halijazama wakati post hii ikiwa bado na uhai
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app