Namuona Nape mpya kwenye gwanda

Namuona Nape mpya kwenye gwanda

Nape ungekomaa na mbunge live ningesema wewe ni jembe saizi unatoa povuuu kwa makondakita kisa mnakamgogoro, toa povuuu kwa Mzee kuhusu bunge live ndio tutakuelewa
 
Hayo uliyoyaandika juu ya Mh. Makonda nani ametuonyesha ni kweli yametokea au kufanyika kuanzia vyeti, majina etc

Why baada ya kuanza vita ya madawa ndio yaibuke?

Hao wengine sababu hakuna pesa na masafari ya ovyo kama kabla, maisha yamebadilika walikuwepo before walikuwa na mazoea ambayo now hawana. Hakuna lingine, inawabidi ili waendelee kutengeneza CV zao. Na wanapenda kuwa ni viongozi na wakae wazoeee wanune watajiju.

Makonda oyeeee
 
Hatakama akivaa Gwanda mimi bado ntamlaumu sana kwasababu ameshatusababishia Damage kubwa sana kutokana na miswada yake aliyopeleka Bungeni pamoja na kuzuia BungeLive.
Mbona John kakiri juzi kuwa ni yeye ndo aliyezuia??
 
Wanajiuliza Kwani yeye ni nani hadi abwebwe na mbeleko kubwa kiasi hiki wakati wao ndio walifanikisha kwa sehemu kubwa mkulu Bob kuwa madarakani?

Walifanikishaje? Labda Makonda alifanikisha zaidi?
 
Kama mkulu ataendelea kufanya mambo kwa staili hii...

Atapata hasara kubwa! Kujenga chama upya na kutengeza system mpya itamchukua muda kwa mapigo yake

Bora hata angekuwa na ujanja-ujanja na kaliba kama Mr .dhaifu...

Hao vijana wakiondoka...lazima mashua iingie maji..

Anything can happen..
 
NAPE KAMWE HAWEZI VAA GWANDA HATA SIKU MOJA......na hawezi hama CCM...na hikitokea amehama CCM hawezi kuja CHADEMA maana sioni karba ya NAPE CHADEMA na ukizingatia uwepo wa EL ndio balaa kabsa.....labda aende kujenga CHAMA NA ZITTO hili ndio linaweza tokea
karba ya lowassa na sumaye ulikua unaiona chadema before???unakumbuka kauli ya sumaye kwa lowassa kabla hajatimkia chadema leo kiko wapi??
 
Issue ya Ben kivip mkuu ???!!... Mmeniacha njia panda hapo mleta thread
 
Issue ya Ben kivip mkuu ???!!... Mmeniacha njia panda hapo mleta thread
naogopa kuusemea moyo acha siku ipite ILA.iko siku huu UZUZU WA kihalaiki utatutoka,Kila mmoja atatambua wajibu wake
Nchi hii na na ndani ya utwala huu hakuna siri tena,watawaliwa hawajibu mashambulizi kwa kelele za majukwaani ka mtawala wao, bali kwa mihuri ya siri inayozagaa mitandaoni,ni komoa ni kukomoe ishatawala,lisemwalo lipo na ka halipo lajongea.
 
nape-avaa-gwanda-jpg.62934
 
Magu yeye ametia saini tuu, na hatakama wabunge CCM ndo wameipitisha ila yeye alikua mstari wa mbele sana kushikilia bango ipite.


Hata suala la bunge live yeye ndiyo alilishikia bango sana lakini mwisho wake maghu kaja kukiri, kwanini kwenye hili ishindikane?
 
Naona huu Uzi umeuweka kwa ajili ya RC tu huna lolote la maana na anayeumia kwa kuona aliyotarajia yatokee kwa RC hayatokei ni wewe na si wao uliowataja.Kila mmoja ya uliyowataja ana nafasi yake, nafasi au special treatment unayodai anapewa RC inawagusaje hadi wakose Raha?Jiandae kisakolojia kuishi na kinyume na matarajio yako
Kwenye hili.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115]
 
Hayo uliyoyaandika juu ya Mh. Makonda nani ametuonyesha ni kweli yametokea au kufanyika kuanzia vyeti, majina etc

Why baada ya kuanza vita ya madawa ndio yaibuke?

Hao wengine sababu hakuna pesa na masafari ya ovyo kama kabla, maisha yamebadilika walikuwepo before walikuwa na mazoea ambayo now hawana. Hakuna lingine, inawabidi ili waendelee kutengeneza CV zao. Na wanapenda kuwa ni viongozi na wakae wazoeee wanune watajiju.

Makonda oyeeee
Duuu
 
Back
Top Bottom