Namuona Nape mpya kwenye gwanda

Namuona Nape mpya kwenye gwanda

NAPE KAMWE HAWEZI VAA GWANDA HATA SIKU MOJA......na hawezi hama CCM...na hikitokea amehama CCM hawezi kuja CHADEMA maana sioni karba ya NAPE CHADEMA na ukizingatia uwepo wa EL ndio balaa kabsa.....labda aende kujenga CHAMA NA ZITTO hili ndio linaweza tokea
In politics there is no permanent friends or enemies. Mtu akitubu anasamehewa mara moja Safari inaendelea.
 
me daima uwa nawashangaa wapinzani jinsi walivyo .


wapinzani wanaacha kushughulika na mambo ya msingi yanayowahusu MNA haha na YANAYOJIRI NDANI YA UONGOZI WA JPM .

Nape kapatwa na nini cha Ajabu?

Nape ni mbunge,na mwanachama wa Chama cha Mapinduzi. si Dhani kama kuna la zaidi hapo.



suala la kutumbuliwa ni moja kati ya Sera za Chama cha Mapinduzi, na Nape analifahamu ilo.


Yeye(Nape) alikubaliana na Mgombea wa Urais (Magufuri) kuwa mtumishi yeyote asiye na weledi wa kazi angetumbuliwa hapo hapo .


hakukuwa na orodha ya watu watakaotumbuliwa ,bali yeyote (hata yeye nape)


na hapa nape amekosa weledi wa kazi.

kwanini.

unaunda kamati dhidi ya kashfa ya mitajdaoni. wakati kiongozi amesema hafanyi kazi upuuzi wa wana jf, hiyo ripoti una mpelekea nani?

kamanda simon sirro ana waagiza clouds media kuripoti tukio la uvamizi kituo cha polisi wakati kamati tayari imeshaundwa ,ina maana waziri amekurupuka tu jeshi la polisi halikuwa na taarifa .




halafu kamati unaiunda ikiwa na wajumbe tata .


we nape pumzika tu ,umewafunza jambo waTz kwamba Magufuri ni Kiongozi mwenye kujali ahadi zake ,



waache wapinzani waendelea kuumiza akili kwa sababu wao hawana kazi za kufanya .



[HASHTAG]#MagufuriWeTrust2020[/HASHTAG]
 
In politics there is no permanent friends or enemies. Mtu akitubu anasamehewa mara moja Safari inaendelea.
Na hili hata JPM analijua atawatendea yote watanzania Lakini atakuja kutenda jambo 2019 kila mtu atasamehe yote na atampigia kura watanzania wanasamehe sana kama yote aliyoyafanya Nape bifu lake na Makonda tu keshakua shujaa basi Hakuna nchi ambayo mtu anapata ushujaa kiulaini kama Tanzania
 
Mkuuu tufike mahali tufikiri mpaka mwisho.Kufikiria kwa kuishia katika ni hatari sana.Nape na vijana wenzio sio watanzania pekee ambao wanaweza kuongoza Taifa hili.Ujana sio itikadi Bali ni rika tu.Ujana sio philosophy.Ujana katika dunia ya leo sio idadi ya miaka Bali ni mawazo murua Na yenye muelekeo wa ufanyaji kazi sawa Na kurunzi.Kinyume chake ni vurugu tu na ufedhuli tu.


QUOTE="mshana jr, post: 20274527, member: 98741"]Nape si mwanaCCM tena (amekuwa) almost four years ago, kipindi kile cha CCJ na CCK. RIP Mzee Sitta.

Hata ndani ya CCM ilijulikana hivyo ila busara na hekima za Kikwete zilimbakisha chamani. By then alikuwa ndio mmojawapo wa vijana waliokuwa wanategemewa sana ndani ya chama.


Wakati si milele, enzi ya Kikwete ikapita Salama. Uchapakazi wa Nape kama Katibu mwenezi Kitengo cha propaganda unaonekana wazi, akalipwa fadhila ya ubunge na hatimaye uwaziri.

Huyu ni Nape katika ulimwengu wa siasa za chama tawala! Lakini Kiuhalisia na kutoka rohoni mwake kama ikitokea nafasi nyingine huru Nape Nnauye is no longer CCM. Na kwa taarifa yako hayuko peke yake. Mwigulu, Makamba Jr, Kigwangala (wenye tuhuma za kughushi majina), Bashe na vijana wengi ndani ya CCM hawako happy na utawala wa sasa.

Kuna kitu hawakubaliani nacho asilani hata kama hawaongei kwa sauti kwa kuhofia kutumbuliwa, lakini iko hivi "Hawapendezwi na SPECIAL CARE anayopewa RC wa Dar mwenye tuhuma nyingi ikiwemo za kupora mali Kisha kusingizia madawa, kughushi cheti na matumizi mabaya ya madaraka.

Wanajiuliza kwani yeye ni nani hadi abwebwe na mbeleko kubwa kiasi hiki wakati wao ndio walifanikisha kwa sehemu kubwa mkulu Bob kuwa madarakani? Kama ni ishu ya Ben mbona hata wao wangeweza kuifanya? Wanajiuliza What is so special wit dis guy kwa mkulu?

Kwahiyo inapotokea nafasi kama hii ya kuongea, hawa waliotengwa wanajaribu kuonyesha hisia zao japo kwa woga mkubwa. Between they have already a plan B or I can say back up If ever things fall apart...
.
Just thinking aloud... But namuona Nape Nnauye and the rest kwenye gwanda ......!!!!the soonest....!!!!!!!!!!![/QUOTE]
 
Na hili hata JPM analijua atawatendea yote watanzania Lakini atakuja kutenda jambo 2019 kila mtu atasamehe yote na atampigia kura watanzania wanasamehe sana kama yote aliyoyafanya Nape bifu lake na Makonda tu keshakua shujaa basi Hakuna nchi ambayo mtu anapata ushujaa kiulaini kama Tanzania
Inawezekana pia maana ndiyo siasa.
 
bf6a1949335b05af3bb21898dfc8270e.jpg
 
Ukitaka kuwa miongoni mwa watanzania wenye nia halisi ya kuikomboa nchi yetu kutoka makucha ya ukoloni uchwara na ufisadi wa haki za raia kisiasa kiuchumi na kijamii...Toroka uje leo!

Just immagine.....Going to court in an attempt to bar the elections of TLS was an act of utter insanity!!...Why?...What for?/...To what end??...On whose benefit?

nape.jpg
 
UKITAKA KUWA MIONGONI MWA WATANZANIA WENYE NIA HALISI YA KUIKOMBOA NCHI YETU KUTOKA MAKUCHA YA UKOLONI UCHWARA NA UFISADI WA HAKI ZA RAIA KISIASA KIUCHUMI NA KIJAMII...TOROKA UJE LEO!
Kumbe huko ni Bar....[emoji15] [emoji15]
 
Usimchagulie. Anaweza kukaa hukohuko akinukishe au akae kimya au ahamie cha kingine kama ACT, CHADEMA, NCCR ila namuomba asiende CUF
 
Back
Top Bottom