Mkuu umesahau kuwa siasa hainaga adui wala rafiki wa kidunia?NAPE KAMWE HAWEZI VAA GWANDA HATA SIKU MOJA......na hawezi hama CCM...na hikitokea amehama CCM hawezi kuja CHADEMA maana sioni karba ya NAPE CHADEMA na ukizingatia uwepo wa EL ndio balaa kabsa.....labda aende kujenga CHAMA NA ZITTO hili ndio linaweza tokea
Ngumu kujibuUVCCM mnasemaje juu ya hili la Makonda kule Clouds? mnasemaje juu ya Kauli ya Rais juu ya Makonda? Mbona mpo kimya?
Mkuu umesahau kuwa siasa hainaga adui wala rafiki wa kudumu?
huyu jamaa yuko wapi kwanza,alirudi kuchunga ngombe munduli?
Mkuu umesahau kuwa siasa hainaga adui wala rafiki wa kudumu?
Acha izo wewe niger boy unadhani utapata mtu wa kumscum hapa bongo ? tena acha kabisa.Tengeneza Pesa kwa njia ya mtandao ,make money through online
Make Money Taking Surveys, Earn Free Cash Online, Paid Per Click Advertising | ClixSense Link
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji115] [emoji3]Acha izo wewe niger boy unadhani utapata mtu wa kumscum hapa bongo ? tena acha kabisa.
Hapana sijamsifia asilani hebu nisome tena kwa makiniLeo unamwagia sifa nape? mkuu kumbuka "kila nabii na watu wake" haya yanayofanywa na bashite kwenye zama hizi ndiyo yaliyofanywa na nape zama zilee. Tofauti kidogo ni kwakuwa nape alitumia zaidi kinywa kuwaumiza wapinzani wa kambi yao na si maguvu kama ya bashite.
Bora umefunga mdomo,km mtu hawezi kuunganisha dots basi na aendelee kubaki gizani tu ..[emoji40] [emoji40] [emoji40]
A triple standard bosswatu waache kufanya kazi kwa mazoea...wajue utawala wa sasa si wa zamani then wa adjust..kutokuwa happy hakuwasaidii..maana hata LOWASA angekuwa raisi angekuwa na staili zake ambazo watu hawaja zizoea ...so ppl wake up and know ur boss.