Safari hii limeingia kwake kilaiiiini ; waswahili walisema MUOSHA HUOSHWA.Nape huyu mzee wa bao la mkono?
Safari hii limeingia kwake kilaiiiini ; waswahili walisema MUOSHA HUOSHWA.Nape huyu mzee wa bao la mkono?
Mara hii kawa rafiki ? Au ndo yale katika siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu !!!Huu uonevu utaisha lini jamani mtu anatenguliwa ili kuvuruga kosa la mtoto
Mpendwa tujifunze kupitia makosa jamani
Nape hakuzuia bunge live bali alitekeleza amri ya mkuu, mkuu wa nchi alikiri yeye ndio kazuia bunge live.Hatakama akivaa Gwanda mimi bado ntamlaumu sana kwasababu ameshatusababishia Damage kubwa sana kutokana na miswada yake aliyopeleka Bungeni pamoja na kuzuia BungeLive.
Akili za kibashite, vita ya madawa ndio uingie na mtutu usiku kwenye ofisi za watu? Akili za kibashite oyeeeee ndio nini?Hayo uliyoyaandika juu ya Mh. Makonda nani ametuonyesha ni kweli yametokea au kufanyika kuanzia vyeti, majina etc
Why baada ya kuanza vita ya madawa ndio yaibuke?
Hao wengine sababu hakuna pesa na masafari ya ovyo kama kabla, maisha yamebadilika walikuwepo before walikuwa na mazoea ambayo now hawana. Hakuna lingine, inawabidi ili waendelee kutengeneza CV zao. Na wanapenda kuwa ni viongozi na wakae wazoeee wanune watajiju.
Makonda oyeeee
Bunge live mhusika ni baba Bashite, mwnyw kaongea live DomHatakama akivaa Gwanda mimi bado ntamlaumu sana kwasababu ameshatusababishia Damage kubwa sana kutokana na miswada yake aliyopeleka Bungeni pamoja na kuzuia BungeLive.
JPM kesha tamka wazi kuwa ni yeye aliyeagiza kufutwa kwa bunge laivu (live)Hatakama akivaa Gwanda mimi bado ntamlaumu sana kwasababu ameshatusababishia Damage kubwa sana kutokana na miswada yake aliyopeleka Bungeni pamoja na kuzuia BungeLive.
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Akili za kibashite, vita ya madawa ndio uingie na mtutu usiku kwenye ofisi za watu? Akili za kibashite oyeeeee ndio nini?
Ni vizuri mnapojipa matumaini japo hewa,inasaidia kuimarisha uhai wenu na kuongeza siku za kuishi
Hujui unaloandika eti Nape ni mteule wa RaisBila kutarajia watu wanaomsaidia Makonda asichukuliwe hatua stahiki ni nyinyi ambao mnataka kumfundisha Rais nini afanye juu ya huyu bwana. Hakuna Rais yeyote atakaekubali kuchukua hatua kwa shinikizo!!! Mngekaa kimya baada ya kuorodhesha madhambi yake nadhani Makonda angeshuhulikiwa ipasavyo muda mrefu uliopita!!
Kuhusu Nape, ni jambo la fedheha jinsi jeshi la polisi linavyofanya kazi zake bila weledi; kitendo cha askari kanzu kumtolea bastola mteule wa Rais ni kukosa weledi. Ni kweli Nape sio waziri tena kwavile nafasi yake ameteuliwa mtu mwingine lakini hapo hapo Rais hajatoa kauli yeyote juu ya Nape ; sio ndoto wala sio kana kwamba haiwzekani kwani Rais anaweza kumteua Nape akawa mkuu wa Mkoa wa DSM badala ya Makonda!!!
Hujui unaloandika eti Nape ni mteule wa Rais
MMMMMM ishu ya Ben ishu gani hiyo?Nape si mwanaCCM tena (amekuwa) almost four years ago, kipindi kile cha CCJ na CCK. RIP Mzee Sitta.
Hata ndani ya CCM ilijulikana hivyo ila busara na hekima za Kikwete zilimbakisha chamani. By then alikuwa ndio mmojawapo wa vijana waliokuwa wanategemewa sana ndani ya chama.
Wakati si milele, enzi ya Kikwete ikapita Salama. Uchapakazi wa Nape kama Katibu mwenezi Kitengo cha propaganda unaonekana wazi, akalipwa fadhila ya ubunge na hatimaye uwaziri.
Huyu ni Nape katika ulimwengu wa siasa za chama tawala! Lakini Kiuhalisia na kutoka rohoni mwake kama ikitokea nafasi nyingine huru Nape Nnauye is no longer CCM. Na kwa taarifa yako hayuko peke yake. Mwigulu, Makamba Jr, Kigwangala (wenye tuhuma za kughushi majina), Bashe na vijana wengi ndani ya CCM hawako happy na utawala wa sasa.
Kuna kitu hawakubaliani nacho asilani hata kama hawaongei kwa sauti kwa kuhofia kutumbuliwa, lakini iko hivi "Hawapendezwi na SPECIAL CARE anayopewa RC wa Dar mwenye tuhuma nyingi ikiwemo za kupora mali Kisha kusingizia madawa, kughushi cheti na matumizi mabaya ya madaraka.
Wanajiuliza kwani yeye ni nani hadi abwebwe na mbeleko kubwa kiasi hiki wakati wao ndio walifanikisha kwa sehemu kubwa mkulu Bob kuwa madarakani? Kama ni ishu ya Ben mbona hata wao wangeweza kuifanya? Wanajiuliza What is so special wit dis guy kwa mkulu?
Kwahiyo inapotokea nafasi kama hii ya kuongea, hawa waliotengwa wanajaribu kuonyesha hisia zao japo kwa woga mkubwa. Between they have already a plan B or I can say back up If ever things fall apart...
.
Just thinking aloud... But namuona Nape Nnauye and the rest kwenye gwanda ......!!!!the soonest....!!!!!!!!!!!