Namuona Nape mpya kwenye gwanda

Namuona Nape mpya kwenye gwanda

Wengi hawajui kilichopo nyuma ya huu msamaha... Ni msamaha wa lazima na masharti yenye kiapo kigumu
Bado naitafakari kauli ya Mpambanaji mzoefu BEN MEMBE kukiri sauti ni yake na aguswe anuke maana yake aguswe akinukishe.. huyu naona hakuna dalili yoyote ya kukunja goti.
Muda ndio jibu sahihi. KITAFAHAMIKA TU
 
Hakuna ambaye hatakipiga goti CCM. Bila kujali nani ambaye ni M/Kiti wake, mtu atapata umaarufu katika nchi hii, akiwa ndani ya CCM na si vinginevyo.
 
Sasa mawasiliano ni kwa WhatsApp call tuu!
Yatakuwa hivi;
NN; Leo nimeenda kuzuga kwa mshamba.
BM; Nimekuona, Ila kama umezingua vile!
NN; Hayo sii ndio anataka! Ila 2020 tunakula kichwa ado ado. Ushamva tena NO.
BM; poa kijana, mie nakomaa. Mshamba hanibabaishi. Ila usitumie tena simu ya kawaida.
[emoji15][emoji15][emoji3][emoji3][emoji15][emoji15][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Bado naitafakari kauli ya Mpambanaji mzoefu BEN MEMBE kukiri sauti ni yake na aguswe anuke maana yake aguswe akinukishe.. huyu naona hakuna dalili yoyote ya kukunja goti.
Muda ndio jibu sahihi. KITAFAHAMIKA TU
Katanguliza majeshi
 
Katanguliza majeshi
Baada ya Biashara ya Kuunga Mkono Juhudi kuisha bila Mafanikio, nakuonyesha Upinzani unazidi Kuimarika Pamoja na Vitisho vya Watawala, Sasa yameanza Maigizo ya Kuomba Msamaha, Yameanzia ndani ya CCM na baadaye Watajitokeza Viongozi wa Vyama vya Upinzani Walioandaliwa ili kwenda Ikulu Kupiga Magoti nakuomba Vyama viruhusiwe kufanya Mikutano, Kwa sasa Nchi inaongozwa kwa Matakwa ya Mtu Mmoja ambaye anaweza kuingilia sehemu yoyote hata kama ni Kinyume cha Sheria, Wenye Akili tunajua kila kitu .
 
Nape si mwanaCCM tena (amekuwa) almost four years ago, kipindi kile cha CCJ na CCK. RIP Mzee Sitta.

Hata ndani ya CCM ilijulikana hivyo ila busara na hekima za Kikwete zilimbakisha chamani. By then alikuwa ndio mmojawapo wa vijana waliokuwa wanategemewa sana ndani ya chama.

Wakati si milele, enzi ya Kikwete ikapita Salama. Uchapakazi wa Nape kama Katibu mwenezi Kitengo cha propaganda unaonekana wazi, akalipwa fadhila ya ubunge na hatimaye uwaziri.

Huyu ni Nape katika ulimwengu wa siasa za chama tawala! Lakini Kiuhalisia na kutoka rohoni mwake kama ikitokea nafasi nyingine huru Nape Nnauye is no longer CCM. Na kwa taarifa yako hayuko peke yake. Mwigulu, Makamba Jr, Kigwangala (wenye tuhuma za kughushi majina), Bashe na vijana wengi ndani ya CCM hawako happy na utawala wa sasa.

Kuna kitu hawakubaliani nacho asilani hata kama hawaongei kwa sauti kwa kuhofia kutumbuliwa, lakini iko hivi "Hawapendezwi na SPECIAL CARE anayopewa RC wa Dar mwenye tuhuma nyingi ikiwemo za kupora mali Kisha kusingizia madawa, kughushi cheti na matumizi mabaya ya madaraka.

Wanajiuliza kwani yeye ni nani hadi abwebwe na mbeleko kubwa kiasi hiki wakati wao ndio walifanikisha kwa sehemu kubwa mkulu Bob kuwa madarakani? Kama ni ishu ya Ben mbona hata wao wangeweza kuifanya? Wanajiuliza What is so special wit dis guy kwa mkulu?

Kwahiyo inapotokea nafasi kama hii ya kuongea, hawa waliotengwa wanajaribu kuonyesha hisia zao japo kwa woga mkubwa. Between they have already a plan B or I can say back up If ever things fall apart...
.
Just thinking aloud... But namuona Nape Nnauye and the rest kwenye gwanda ......!!!!the soonest....!!!!!!!!!!!
Unaona mbali, hata kuomba msamaha ni mchakato wa kutimaza uliyoyatabiri
 
Mganga wa JF utabiri bado umebuma !
 
Wanasiasa manguli walishadai "hate the game not the players" labda walikuwa sawa...
 
NAPE KAMWE HAWEZI VAA GWANDA HATA SIKU MOJA......na hawezi hama CCM...na hikitokea amehama CCM hawezi kuja CHADEMA maana sioni karba ya NAPE CHADEMA na ukizingatia uwepo wa EL ndio balaa kabsa.....labda aende kujenga CHAMA NA ZITTO hili ndio linaweza tokea
Jamaa alikuwa anakwambia "the soonest....!
Haka kajamaa ni kajinga sana
 
Back
Top Bottom