Jamaa alikuwa anakwambia "the soonest....!NAPE KAMWE HAWEZI VAA GWANDA HATA SIKU MOJA......na hawezi hama CCM...na hikitokea amehama CCM hawezi kuja CHADEMA maana sioni karba ya NAPE CHADEMA na ukizingatia uwepo wa EL ndio balaa kabsa.....labda aende kujenga CHAMA NA ZITTO hili ndio linaweza tokea
Niliiweka kwenye maktaba.naihifadhi
Hii ni kweli , hawa jamaa ni waninga waliopitilizaNilishawahi kuandika humu ni rahisi kuwarubuni chadema kwa neno kidogo.CCM wanajua kuandaa presidential candidates kwa ujinga wa wapinzani
Illusions.Ndio bado naendelea nazo .. Zikikoma nitakutaarifu