Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,223
Anakuja leo jioni chadema! Pumbavu zenu bavichaaKuja kwa Nape Chadema sio kwamba ni faida sana kwa chama bali kwa vile ni pigo kubwakwa ccm basi ni jambo la kufurahisha sana

Huna adabu!Anakuja leo jioni chadema! Pumbavu zenu bavichaa
endeleeni kujifariji niliisha sema ukitaka kuelewa siasa za bongo husiwe na upandeHii ngoma bado mbichi sana
Bado wawili ambao ni hatari... napata mashaka hii samehe ya meko..Nape si mwanaCCM tena (amekuwa) almost four years ago, kipindi kile cha CCJ na CCK. RIP Mzee Sitta.
Hata ndani ya CCM ilijulikana hivyo ila busara na hekima za Kikwete zilimbakisha chamani. By then alikuwa ndio mmojawapo wa vijana waliokuwa wanategemewa sana ndani ya chama.
Wakati si milele, enzi ya Kikwete ikapita Salama. Uchapakazi wa Nape kama Katibu mwenezi Kitengo cha propaganda unaonekana wazi, akalipwa fadhila ya ubunge na hatimaye uwaziri.
Huyu ni Nape katika ulimwengu wa siasa za chama tawala! Lakini Kiuhalisia na kutoka rohoni mwake kama ikitokea nafasi nyingine huru Nape Nnauye is no longer CCM. Na kwa taarifa yako hayuko peke yake. Mwigulu, Makamba Jr, Kigwangala (wenye tuhuma za kughushi majina), Bashe na vijana wengi ndani ya CCM hawako happy na utawala wa sasa.
Kuna kitu hawakubaliani nacho asilani hata kama hawaongei kwa sauti kwa kuhofia kutumbuliwa, lakini iko hivi "Hawapendezwi na SPECIAL CARE anayopewa RC wa Dar mwenye tuhuma nyingi ikiwemo za kupora mali Kisha kusingizia madawa, kughushi cheti na matumizi mabaya ya madaraka.
Wanajiuliza kwani yeye ni nani hadi abwebwe na mbeleko kubwa kiasi hiki wakati wao ndio walifanikisha kwa sehemu kubwa mkulu Bob kuwa madarakani? Kama ni ishu ya Ben mbona hata wao wangeweza kuifanya? Wanajiuliza What is so special wit dis guy kwa mkulu?
Kwahiyo inapotokea nafasi kama hii ya kuongea, hawa waliotengwa wanajaribu kuonyesha hisia zao japo kwa woga mkubwa. Between they have already a plan B or I can say back up If ever things fall apart...
.
Just thinking aloud... But namuona Nape Nnauye and the rest kwenye gwanda ......!!!!the soonest....!!!!!!!!!!!
Wapi kinana.. wapi Membe..Wajinga ndio waliwao! Kigwangala huyo, bashe huyo, nape huyo!
Wengi hawajui kilichopo nyuma ya huu msamaha... Ni msamaha wa lazima na masharti yenye kiapo kigumuBado wawili ambao ni hatari... napata mashaka hii samehe ya meko..
Inaonyesha wale ambao watakomaa na kauli zao hao hajawasamehe na atawashughulilia tu. Mzee wa visasi[emoji83]☻
Hizi ndio ramli zenyewe sasa!Wengi hawajui kilichopo nyuma ya huu msamaha... Ni msamaha wa lazima na masharti yenye kiapo kigumu
Pumbavuu zenu ba-vichaaHuna adabu!
Hao akili zipo pa kutolea nyaa, usiwashangae!Hizi ndio ramli zenyewe sasa!
Sasa kama Nape ni ngangari kwa nini alazimishwe msamaha?
Kwa nini asijitoe kabisa hadharani ili tujue kwamba huyu ni ndio mkombozi wetu hasa?
Kuna mengi huyajui usinichimbe niongee zaidi nitakwambia sijuiHizi ndio ramli zenyewe sasa!
Sasa kama Nape ni ngangari kwa nini alazimishwe msamaha?
Kwa nini asijitoe kabisa hadharani ili tujue kwamba huyu ni ndio mkombozi wetu hasa?
Sasa mawasiliano ni kwa WhatsApp call tuu!Subira huzaa faraja
Vipi bado unaendelea na ndoto za kumuona Nape ndani ya gwanda?Nape si mwanaCCM tena (amekuwa) almost four years ago, kipindi kile cha CCJ na CCK. RIP Mzee Sitta.
Hata ndani ya CCM ilijulikana hivyo ila busara na hekima za Kikwete zilimbakisha chamani. By then alikuwa ndio mmojawapo wa vijana waliokuwa wanategemewa sana ndani ya chama.
Wakati si milele, enzi ya Kikwete ikapita Salama. Uchapakazi wa Nape kama Katibu mwenezi Kitengo cha propaganda unaonekana wazi, akalipwa fadhila ya ubunge na hatimaye uwaziri.
Huyu ni Nape katika ulimwengu wa siasa za chama tawala! Lakini Kiuhalisia na kutoka rohoni mwake kama ikitokea nafasi nyingine huru Nape Nnauye is no longer CCM. Na kwa taarifa yako hayuko peke yake. Mwigulu, Makamba Jr, Kigwangala (wenye tuhuma za kughushi majina), Bashe na vijana wengi ndani ya CCM hawako happy na utawala wa sasa.
Kuna kitu hawakubaliani nacho asilani hata kama hawaongei kwa sauti kwa kuhofia kutumbuliwa, lakini iko hivi "Hawapendezwi na SPECIAL CARE anayopewa RC wa Dar mwenye tuhuma nyingi ikiwemo za kupora mali Kisha kusingizia madawa, kughushi cheti na matumizi mabaya ya madaraka.
Wanajiuliza kwani yeye ni nani hadi abwebwe na mbeleko kubwa kiasi hiki wakati wao ndio walifanikisha kwa sehemu kubwa mkulu Bob kuwa madarakani? Kama ni ishu ya Ben mbona hata wao wangeweza kuifanya? Wanajiuliza What is so special wit dis guy kwa mkulu?
Kwahiyo inapotokea nafasi kama hii ya kuongea, hawa waliotengwa wanajaribu kuonyesha hisia zao japo kwa woga mkubwa. Between they have already a plan B or I can say back up If ever things fall apart...
.
Just thinking aloud... But namuona Nape Nnauye and the rest kwenye gwanda ......!!!!the soonest....!!!!!!!!!!!
Uko sawa👍Wengi hawajui kilichopo nyuma ya huu msamaha... Ni msamaha wa lazima na masharti yenye kiapo kigumu