Namuona Nape mpya kwenye gwanda

Namuona Nape mpya kwenye gwanda

Walifanikishaje? Labda Makonda alifanikisha zaidi?
Hatuwezi kusahau role ya Makamba jr kwenye kucheza na mfumo wa kuhesabu kura
Hatuwezi kusahau fitina na figisu za Mwigulu kwa wapinzani
Hatuwezi kusahau shobo na maneno ya kukera ya Nape wakati akiwa katibu mwenezi
Sioni role kubwa ya bash boy popote pale
 
Tatizo njaa.Nape hawezi Fanya chochote,kashapigwa mkwara na sizonje aachane na ripoti ya Bashite mawingu.
 
Nilishawahi kuandika humu ni rahisi kuwarubuni chadema kwa neno kidogo.CCM wanajua kuandaa presidential candidates kwa ujinga wa wapinzani
 
Kwa spidi hii hata sisiemu hii ya sasa ikigeuzwa jina tu na vingine kubaki kama vilivyo bavicha watashadadia chadema mpya.
 
NAPE KAMWE HAWEZI VAA GWANDA HATA SIKU MOJA......na hawezi hama CCM...na hikitokea amehama CCM hawezi kuja CHADEMA maana sioni karba ya NAPE CHADEMA na ukizingatia uwepo wa EL ndio balaa kabsa.....labda aende kujenga CHAMA NA ZITTO hili ndio linaweza tokea
kwenye siasa hakuna kisichowezekana weka akiva ya maneno mkuu.
 
Mkuu nafikiri umepitiwa nape alikuwa tayari kuvaa gwanda kipindi kile mpaka akapewa ukuu wa wilaya,safari hii hakuna pingamizi!
 
NAPE KAMWE HAWEZI VAA GWANDA HATA SIKU MOJA......na hawezi hama CCM...na hikitokea amehama CCM hawezi kuja CHADEMA maana sioni karba ya NAPE CHADEMA na ukizingatia uwepo wa EL ndio balaa kabsa.....labda aende kujenga CHAMA NA ZITTO hili ndio linaweza tokea
Watch out for you might be surprised.
 
Huu Uzi dhima kuu ipo katika issue ya BEN..

Ben yupi? Mkapa au saanane?

Please @ mshana Jr tufafanulie hapo, najua lengo la uzi ni hapo tu.
 
Huu Uzi dhima kuu ipo katika issue ya BEN..

Ben yupi? Mkapa au saanane?

Please @ mshana Jr tufafanulie hapo, najua lengo la uzi ni hapo tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji40] kaka bado nakipenda sana kifanyio changu ooh sorry kikojoleo changu

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom