Namuomba Rais Samia amsaidie huyu dada aliyekuwa muigizaji

Rais hapaswi kushughulishwa na matatizo ya mtu mmoja mmoja, hususan kwa vile eti mhanga ni msanii. Kwa nini wasanii wapewe special dispensation ndani ya nchi ?

Tuwe na mifumo ya kuwasaidia wananchi bila kujali umaarufu, kada, au fani ya mtu, na wala bila kutegemea huruma ya Rais ama attention ya Rais. Kwa sababu tupo milioni 61, na kwa pamoja tunalipa matozo ya simu, ma VAT ya bidhaa na huduma, ma faini ya trafiki, makodi ya biashara na ma ushuru ya forodha. Wote tunachangia kodi. Wagonjwa wanaotaabika ambao wangependa kupata attention ya Rais wako kwa maelfu, sio msanii mmoja.
 
Rais hapaswi kushughulishwa na matatizo ya mtu mmoja mmoja, hususan kwa vile eti mhanga ni msanii. Kwa nini wasanii wapewe special dispensation ndani ya nchi ?

Tuwe na mifumo ya kuwasaidia wananchi bila kujali umaarufu, kada, au fani ya mtu, na wala bila kutegemea huruma ya Rais ama attention ya Rais. Kwa sababu tupo milioni 61, na kwa pamoja tunalipa matozo ya simu, ma faini ya trafiki, makodi ya biashara na kila kitu. Na wagonjwa wanaotaabika ambao wangependa kupata attention ya Rais wako kwa maelfu, sio msanii mmoja.
Hao Global publishers huwa wanatembelea wagonjwa hata wasio maarufu na kuwapa airtime, nadhani watu wengine kama Millard Ayo wangeiga mfano.., sio kuwahoji washenzi kama Zumaridi.
 
Mungu Ampe wepesi. Shida ya wasanii wakipona magonjwa ambayo michango imetoka Kwa Kada tofauti wao shukran zao wanasemaga asante CCM , Asante Mama Samia. Sijawahi kusikia wanesema asante chadema au mbowe .

Wabadirike huwezi jua pengine ktk Mia waliochanga CCM ni mmoja tu
 
Sawa, tuendelee kumchangia
 
Back
Top Bottom