Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,232
Kuwa mkubwa kwenye familia haimaanishi ku take responsibility. Kuna watu wengine wazito kama mawe, tena baadhi ya wanamme mkiona ndio hovyo kabisa. Mtu anasubiri asukumwe hata kutoa mchango wa rambirambi, nani akushirikishe sasa?
Mnakuwa active ukweni kwenu, mie mtu nikiona analalamika hashirikishwi kwao namwona pun.guani tu, kwa nini asi-take initiative za kuanzisha jambo na yeye ndio ashirikishe watu? Huoni aibu kaka mkubwa kila siku unashirikishwa badala ya kuwashirikisha wewe wadogo zako?

Ni rahisi sana ku judge kama hayajakutokea au kushuhudia nimeshaona kaka mkubwa hashirikishwi vikao vya maamuzi ya family na hata kwenye msiba wanaitana pembeni wadogo na wazazi then jamaa anatumwa tu nenda sokoni kalete hiki na young brother kisa yeye hana kitu