Namuendesha bosi msichana wenzangu wananicheka

Namuendesha bosi msichana wenzangu wananicheka

Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.

Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.

Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.

Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.

Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
Penda kazi yako,keep it up...
 
Approximately not above 20-22 sometimes I feel like to blink her[emoji7] [emoji4]
Umeanza ujinga. Badala ufanye kazi kwa adabu ili uendelee kwenda chooni, unaanza kuwaka tamaa za kishetani.

Tunakusihi kuheshimu kazi na kuweka msimamo bila kusikiliza ya wasiokulipia kodi na ugali kumbe unafikiria ufuska!!!

Utarudi kijiweni kusimulia yaliyopita.
 
Acha wacheke ili mradi wapata chochote kitu sidhani kama wanakuumiza kichwa
Hapa hawamcheki bado, ila anakoelekea ndiko atachekwa kikweli kweli. Nimegundua ana mawazo ya kishetani, na afahamu kuwa shetani hamwachi mtu hadi amwagushe.
Bahati mbaya hataleta mrejesho humu akipatwa kama hatakuwa makini kwa tamaa inayomwaka.
 
Mimi bosi wangu mwenyewe sijawahi mpokea mzigo wake na kumbebea, Aisee sijui nipoje maana huwa naona sana aibu kufanya hivyo
 
Kwani wakikutenga jua halitoki?

Wao ndio wanaokulipa Mshahara?

Kuna vitu havina hata umuhimu wa kuvifuatilia
 
I think the world has a serious shortage of real men....we expected this since 1980s...
I am speaking this with a SERIOUS NOTE....
and as for now I rerite myself from further discussion on this issue.....
I got a beer to attend......
 
Sasa wewe wasikilize hao wanaokucheka uache ukarimu kwa huyo dada... Keep change utazisikia kwa madereva wenzio.....

Hii dunia ukifanya kitu usiangalie nani atasema nini, Fanya kwa kua kina manufaa kwako
 
Yule Dada namnunulia mpaka shampoo naenda sokoni wala sioni tabu naifurahia kazi yangu nimeweka manukato kwenye gari akasema "wee kaka hii perfume umenunua wapi". Akanituma nimnunulie kaipeleka kwake[emoji4]
Safi sana utafika mbali maana mabosi ukiwaheshimu CV yako wanaitunza na ikitokea pande nono wanakupa na huwezi kufa njaa Cha muhimu ufuate ethics za udereva kubwa kuliko yote Ni Siri/ TOP SECRET ndani na nje ya ofisi
 
I think the world has a serious shortage of real men....we expected this since 1980s...
I am speaking this with a SERIOUS NOTE....
and as for now I rerite myself from further discussion on this issue.....
I got a beer to attend......
Tafsiri basi mwenzetu[emoji4]
 
Back
Top Bottom