Namuendesha bosi msichana wenzangu wananicheka

Safi sana utafika mbali maana mabosi ukiwaheshimu CV yako wanaitunza na ikitokea pande nono wanakupa na huwezi kufa njaa Cha muhimu ufuate ethics za udereva kubwa kuliko yote Ni Siri/ TOP SECRET ndani na nje ya ofisi
Good advice[emoji41]
 
Piga kazi achana na watu wasiojua maisha uliyopitia, wasiojua malengo yako, siku wakijua watakua wanechelewa sana..
 
UTAFUKUZWA KAZI KWA UJINGA WAKO, SIO KILA KITU CHA KULETA MITANDAONI, HIVI KAMA HUYO BOSI YUPO HUMU JF UNADHANI UTAKUWA SALAMA?
LABDA KAMA NI STORI YA KUTUNGA!.
 
Achana nao angalia maisha yako tu kuwa mnyenyekevu hivyo hivyo Mkuu

Hakukupa ajira hao
Mtaani umesota walikuwa hawana habari na wewe Sometimes inabidi ujifanye mjingaa maishi yaende fresh tu

Hii ndio kazi yako ifanye hivyo hivyo tu
Binadamu watu waajabu sana ukiwaangalia wao na kiwasikiliza utafeli tu

Ukiwa mnyenyekevu Mungu akunyenyua
Ukijidai mjuaji Mungu atakushusha
 
U
Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.

Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.

Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.

Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.

Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
Usije ukatamani kuleta mapenzi hapo utaharibu kazi..wewe fanya wajibu wako kama ulivyofundishwa.
 
Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.

Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.

Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.

Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.

Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
Hapo kuna nini cha kukushauri unaingiza urafik kwenye kazi,kazi hyo ndo inakulisha afu unakubali vip mtu akuchallenge,una marafiki wapumbavu,hawakufai
Muhimu.
jitahid kujiongoza maana hivo n vitu vidogo sana ambavo havitakiwi kufunguliwa hata uzi
 
Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.

Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.

Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.

Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.

Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
We piga kazi binadamu atueleweki
 
Uko sahihi, una nidhamu kazini.
Big up.

Back
Top Bottom