Namuendesha bosi msichana wenzangu wananicheka

Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.

Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.

Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.

Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.

Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
Mkuu pambana na kazi yako achana na hao kenge kwa sababu mwisho wa siku ukiwa kitaa huna watakucheka vilevile, so mind your own business
 
Neno lako la mwisho linautata mwanangu.UFANYEJE ILI UFAIDI WEMA WAKO.
WEEpiga kazi professionally.utunze ajira yako tu.usitake na ndoa.labda a tu kama haujaoa,waweza kumchumbia hasa baadae.

Kumbuka mtaka yote kwa pupa hukosa yote.nawewe unashuhudia kwamba umesota kabla ya kupata hiyo kazi.
Asante.
 
Vipi jinsia yako imeshabadilika kuwa "me"? Mumeo ameacha kuomba game kila siku?
Itakuwa huyu (ke) anatumia I'd moja na mumewe.😂😂😂
 
Piga kazi acha waseme tu maana hawakusaidii chochote, ila ukijichanganya na kuleta hisia za mapenzi kwa bosi ujue kibarua kitaota nyasi..
 
Unaambiwa acha kujali namna watu wanavyokuona, namna watu wanavyokuchukulia... Wakati mwingine unaweza kuhisi watu wanakuchukulia au kukuona namna fulani kutokana na shughuri unayofanya kumbe kila mtu anafanya yake they don't care about your shit... Achana na watu wanasa nini.mama
Piga kazi
 
Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.

Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.

Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.

Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.

Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
Fanya kazi yako kwa weledi. Kama katika utendaji wako wa kazi unatakiwa kufanya unavyofanya usimsikilize mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom