Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Fanya kazi yako bila kuangalia na kusikiliza wengine wanasemaje. Ukisikiliza maneno ya watu hatufanya chochote unaweza kuona kazi yako mbaya
Mkuu una umri gani?Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.
Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.
Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.
Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.
Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.

Mwendawazimu tu ndo atakucheka hao wanaokucheka ni mapumbavu machacheHbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.
Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.
Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.
Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.
Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
.Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.
Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.
Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.
Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.
Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
Yani hapa ndio alipolitia togwa binzali na magadi [emoji1][emoji1]Boss,CEO wa miaka 22 [emoji848][emoji848]
Mzee hebu jaribu kushtuka bas
Fwata kilicho kupeleka kazini, ukifwata ya hao jamaa zako utaja kujuta baadae na wao wataongeza kukucheka hasa pale utakapo kuwa umekosa vyote, na ndipo utakapo umia zaidi ya ya sasahivi unavyo umia nahayo maneno yao.Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.