Namuendesha bosi msichana wenzangu wananicheka

Hajaolewa ndo kaanza kazi na mm pia ndo naanza kazi karoho kananidunda ni mzuri mpaka mwenyewe natetemeka[emoji7] [emoji7]
Daah! Natamani nipasue keyboard nitokee hapo ulipo ili tuyajenge unifanikishie nimnase... Anaweza akawa na umri gani kwa kukadiria?
 
Approximately not above 20-22 sometimes I feel like to blink her[emoji7] [emoji4]
 
Kama wewe unalalamika bila hata ya kuweka picha ya huyo boss kipusa, je anayemuendesha ki (.) asemeje?
 
Sio kama wengine hatusemwi ila ni vile tu tunajua fika kuwa tukiishiwa hakuna atakaelipa bills. Tena Hakuna asiyejisikia vibaya akisemwa especially na watu anaowajali ila tu unaweka ngumu ili life liende. Wewe ndio unaijua safari yako na hakuna mtu wa kukuamulia safari yako iweje kama hawezi kufanya ule, ulale na ulipe bills. If it can't kill you, it makes you stronger sister
 
Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.
Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.
Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.
Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.
Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
Mkuu kwenye hii dunia huwezi kumfurahisha kila mtu kumbuka hata wewe kuna muda unakosa furaha kiasi kwamba kuna wakati unashindwa kutengeneza furaha yako mwenyewe.
Endelea kupiga kazi utimize malengo yako hao wanaokuchukia kisa kazi uliyochagua kuifanya hawawezi kujua malengo yako na hawawezi kukusaidia kuyatimiza ndo maana wanchukia.
 
Keep on !!!
Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.

Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.

Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.

Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.

Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
 
Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.

Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.

Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.

Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.

Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
Komaaa achana na ngendembwe za majirani izo zitakutoa kwenye reli mkuu
 
Fanya kazi yko kwa ufasaa... Watu hawakosi cha kusema
 
Back
Top Bottom