Namuelewa sana huyu mdada

Ananifurahisha sana anapokuwa Bungeni akifanya vitu vyake, anajua sana kupanga hoja. Nafurahi sana kwa yeye kuhamia CHADEMA.

Mtambo wa Mara huo Mzee ..., ni mzuri halafu ni mpiganaji vilevile ...[emoji23]
 
Wanaume wa mkoani hao,dar es salaam huyo hata jaonekani naskia mm nko huku bukoba
 
mi nitakuwa nakuletea msosi pale segerea. . . .

alafu nimewahi waona mabinti zake yani sijui wamerithi kwa nani hawaingii hata kidogo kwa mheshimiwa
 
mi nitakuwa nakuletea msosi pale segerea. . . .

alafu nimewahi waona mabinti zake yani sijui wamerithi kwa nani hawaingii hata kidogo kwa mheshimiwa
Uwe unaleta buffet la maana. Maswala ya kuleteana donna sitaki.
Ntakupa ratiba ya vyakula kabisa.
Halafu ntakuwa jela ya VIP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…