Namuelewa sana huyu mdada

Uchochezi unawahusu mnaotamani tamani mawaziri
 
Yeah brother, she is attractive.. ila nimecheka sana uliposema chuki kwa ccm huwa inakwisha umwonapo ummy
 
umeota kipenzi cha roho yangu, kuna wakati huwa nasema hafananii na kuwa sisiem ase
 
Wanadai ukimwangalia mwanamke kwa kumtamani umeshazini nae [emoji32] [emoji32] .
 
Nampendaga kinyama huyu Mwanamke.

Hivi ameolewa?
 
Inawezekan una kahela kanakusumbua na nyuma ya nondo una cku hujafka .
 
Acha uzuzu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…