Namuelewa sana huyu mdada

Mimi kati ya viongozi wanawake namkubali sana huyu mama namkubali sana kwa utendaji wake kwakweli nataman hata siku moja nionane naye ili nimpe pongezi zake toka kwangu.
Viva mama
 
Mtoa mada umemuota waziri kwa kuwa amezuia KY [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
kawaida bwana kumuwaza kwan naye si binadam
Ila hilo swali la anataka nn kwake litupe kwa mtoa post

Hao ndo wanaowaona viongozi ni miungu watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…