Namuacha shemeji yenu!

Namuacha shemeji yenu!

Sasa si ukaolewe na Bank? Mana Bank pesa hazikauki.
Muache kaka wa watu utamuua na pressure mana itakuwa unamzodoa mpaka anakosa confidence.

Hii dunia ni ya Mungu ipo siku atapata kazi na atapata anayempenda. Wewe unapenda pesa tu wala humpendi huyo
 
Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.

Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?

Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.

Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Pesa anazo

Ila nakupima tu
 
Wa size yake yupi? Mwanaume kutokua na hela ni aibu. Wanaume wengine wanafanya kazi za ajabu ili mradi awe na kitu mfukoni. Mwanaume kusema huna hela kila wakati haipendezi
Wewe unazo.? Au unauza k kwa hao wanaume. Mapenzi sio fursa kwanza
 
Shida ya wanawake wa kibongo mnawaza pesa tu mupewe nyie.

Kuna muda mume unamtengeneza wewe. Kama unampenda na una nafasi ya kipesa kama ulivyosema. Usimpe hela ya kula, Focus kumtengeneza mume wa maisha yenu ya baadae. Mtengenezee biashara ya kueleweka,mdanganye hii biashara nimekopa hela bank tutairudisha kwa muda fulani. Hapo ni kumpima kama anaweza kuiendeleza hiyo biashara.
Au kama yeye ana uwezo wa kufanya biashara fulani,mpe mtaji mwambie nimekopa tutairudisha. Then aangalia hiyo biashara inaendaje. Kama inatembea,ongeza nguvu hapo.

Maisha yanaanza kwa mtindo huo. WASICHANA JITAHIDINI HATA NYIE KUWAANDAA WAUME ZENU WA BAADAE,MSIKAZANIE NA KUWAZA KUISHIA KWENYE MAPENZI TU. MAISHA YA KESHO NI VILE UNAVYOYAANDAA WEWE LEO.
Atakuelewa sasa
 
Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.

Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?

Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.

Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Huyo hakupendi... hata mimi wanawake ambao siwapendi huwa napenda kuwaaminisha kuwa mimi ni hoi bin dhoofu...
 
Walifirisika nikawaacha
Kumbe unapenda pesa, basi kajiuze, maana hufai kuolewa. Kiapo cha ndoa kinasema mtavumiliana kwa shida na raha, sasa wewe naona kujiuza/umalaya ndo utakufaa, wacha kuvamia fani za watu (mahusiano ya kimapenzi) huziwezi.
 
Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.

Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?

Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.

Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
My sisters, mahusiano sio ajira kwamba mtalipwa mshahara.
 
Wewe ni Ombaomba kama Ombaomba wengine tu sema tofauti yako na wale wengine pengine uko Jf, au basi niseme wewe na wale wa kimboka tofauti yenu ni kwamba wale wanatangaza bidhaa zao na wewe unauza kwa sirisiri. Sema muache tu ili akili ya kutafuta pesa ije ila hata akitafuta asitafute kwa ajili ya Ombaomba kama wewe
 
Wanaume tungekuwa tunaandika kama ulivyoandika ingeitwa unyanyasaji.
 
Shoga Kwa nn hukuhudhuria kikao Cha Wana wake??? Tulikubaliana mwanaume masking apendwe na mama yake na dada zake....huo uhandsome unasaidia nn ikiwa hata vocha Hana??? Tupa uchafu huo
Kulanina 😂😂
wanawake mnapenda sana pesa ila kuna baadhi yetu wanaume tunazingua, imagine mwanaume above 25 hajishughulishi na chochote kile kisingizio ajira hakuna. Ndio ajira hakuna ila kazi zipo hasa za nguvu ila elimu zinatufanya tuchague na kudharau kazi mwishowe umri unazidi sogea na huna muelekeo wa maisha, utadharaulika adi na kunguru.

Vijana tujishughulishe na kama haiwezekan kujishughulisha ni mwiko kumlilia shida mwanamke ni kujichimbia shimo.
Tusiogope kutafuta hela kwnye mazingira ya dharau maana kukosa hela n dharau tosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom